Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Kula ni mzaha? kama ni mzaha usile siku moja tu tukuone utakavyolegea hadi boxer utashindwa kuvaa. Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe yeye anatumia hiyo ya kwake we unapata shinda gani?

Point yake anasema tuanze na watoto hasa primary- wale chakula washibe ili wasome vizuri na wawe na afya bora - huu kwako ni utani? be serious my friend.

\
 
Inaonyesha ni jinsi gani wanavyotudharau wananchi na vyombo vya habari vinampa kiki kabisa ama kweli Elimu yafuta ujinga
 
Rungwee atangazee bhasi Next time atafanyia wapi Mkutanoo...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chezea walii wewee..
 
Mbona jiwe a natembea na mahindi mfukoni akifika kwa rais anayatoa na kula hadharani.......

Umemfokeaa??
 
Huyu mzee akitoa ratiba yake, amini hata polisi hawataweza kudhibiti umati wake!!
Kwa taarifa yako polisi wana njaa kuliko wananchi ... Watachofanya sitaki kusimulia kwa sasa subiri ujionee mwenyewe sipunda akiamza kufanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…