Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Niwie radhi my darling. Ruhusa imekataliwa...View attachment 1554892
Mheshimiwa sana umetangaza kua katika sera zako moja wapo ambayo ndiyo sera kuu ni kugawa ubwa bwa. Ulisema pia wakati wa kampeni utagawa ubwa bwa huo kwa wote watakaokuja kusikiliza sera zako.
Mheshimiwa, ninaomba kazi ya kupika ubwa bwa wa kampeni. Pia ninajitolea kuosha masufuria ili niwe ninaondoka na matandu.
Niko tayari kusafiri Tanzania yote iwapo mume wangu Asprin ataniruhusu.
Anamtoa.Anamtoa au alimtoa maana kipindi ni recorded
Mzinguaji mzee RungweKwani hata kipindi cha Kikwete pia alizuiliwa?