Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Rungwe alipoanza na hii sera yake ilikua kama mzaha Ila sasa it's an insult to our intelligence.
Watu wengi hawajamuelewa lkn wenye akili watakuwa wamemuelewa, Hilo dongo kubwa kalipiga serikali maana asilimia kubwa ya watz Hawana uhakika wa kula

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
_____________________
_Na Godfrey Kassim, PhD (Sayansi ya Chakula)_
______________________

Tulivyokua wadogo tulikua tukikatazwa kula sehemu yoyote isipokua nyumbani tu. Hayo ndio mafundisho halisi ya kiafrika tuliyorithishwa na wahenga.

Nilipoanza kusomea elimu ya sayansi ya chakula nikafahamu kwanini wazee wetu walikua wapo sahihi.

Wataalamu wa elimu ya chakula husema "You Are What You Eat" yaani chakula kina nafasi kubwa katika kumjenga mwanadamu.

Wataalamu wamebaini kwamba chakula hujenga afya ya mwili na akili sambamba na kuathiri tabia ya mwanadamu.

Kuna baadhi ya vyakula hudhoofisha akili hivyo kuathiri ufaulu katika elimu.

Vipo vyakula vingine vinadhoofisha afya ya uzazi na kusababisha ugumba hivyo kupunguza idadi ya watu.

Vipo vyakula vinavyochangia kupunguza/kufuta aibu hivyo kuchangia kwenye mporomoko wa maadili unaosababisha ongezeko la uhalifu.

Tafiti nyingi zinaonesha kwamba vyakula vinavyotolewa mashuleni si salama kwa mtoto kwasababu hubeba madhara mengi sana.

Kuna visa vingi vya vifo mashuleni katika nchi mbalimbali ulimwenguni vinavyosababishwa na kula chakula cha shuleni.

Sambamba na hayo, watafiti wanaeleza kwamba usalama wa chakula hupungua katika harakati za kuandaa chakula cha watu wengi kutokana na uangalifu kuwa mdogo.

Hata hivyo, ni rahisi kwa muhalifu kufanya hujuma ya kudhuru wanafunzi endapo chakula kinaandaliwa mashuleni.

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Stanford huko Uingereza mnamo mwaka 2015 unaonesha kwamba chakula cha mashuleni ni hatari kwa sababu huwa na kiwango cha sumu hatari (Stanford study indicates school meals may expose children to unsafe levels of BPA).
TUREJEE MAFUNDISHO YA WAHENGA*
IMG-20200826-WA0006.jpg
 
mkiluvya,
Hizi habari wapelekee hao wazungu amabo wanakufa kwa corona, hao watoto ambao wanakosa misosi shule wengine wanakula chakual hatari zaidi kama unga wa mhogo ama mhogo ambao tayari una ukungu na ukungu ufanya chakula kiwe na sumu.
 
Naona wengi bado hawajamuelewa huyu mzee
Mleta uzi huu mzee rungwe anamanisha asilimia kubwa ya watz Hawana uhakika wa menyuuuu

Ova
 
Utafiti wa kipuuz Kupata kutokea.

Shule zote za serikali advance wote wanakula ubwabwa. huu huu.

Shule private zote kuanzia Nursery mpaka advance wanakula huu huu ubwabwa.

Viongozi wakubwa wa serikali wamekula huo huo ubwabwa wa shuleni.

Bora TU ukae kimya,
Utafiti wako una sababu zisizo na mashiko.
 
Wapendwa

Tangu tarehe 26 Agosti 2020 kipenga kimepulizwa na kampeni zimeanza kwa wagombea wa vyama vyote kuelekea Oktoba siku itakapopigwa kura za kumpata Rais, Wabunge na Madiwani.

Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Mgombea wa chama cha Chauma ndg Hashim Rungwe Spunda ameonesha uwezo mkubwa wa kuleta hamasa kunogesha kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Rais.

Lisilokwepeka ni kwamba Umma wa Watanzania ambao wengi hawapo humu mitandaoni wanaona na kishuhudia namna ambavyo mgombea wa CCM ndg John Pombe Joseph Magufuli ameitendea zaidi ya haki nafasi ya Urais wa Jamhuri, pamoja na namna alivyoliongoza taifa kwenye vita dhidi ya Covid19 hawana uchaguzi mwingine zaidi ya kumpa ushindi wa kishindo kwenye huu uchaguzi.

Lolote linaweza kutokea kwa wagombea wengine, lakini kwa mara hii kura za mzee Rungwe zinaweza kuvuka idadi ya kura atakazopata Tundu Lissu kwa sababu mgombea huyo wa CHADEMA anakosa uwezo wa kujenga hoja za kisiasa na badala yake anatumia uwanja wa siasa kutoa lugha za matusi na kudhalilisha huku akionyesha kuwadharau wapiga kura huku akitishia yeye na chama chake kufanya lolote hata kwa kuvunja amani endapo hawatapewa ushindi hapo Oktoba.

Ahadi ya kuwapatia chakula watoto mashuleni na kusisitiza mlo kamili kwa wananchi inaonekana kabisa anaweza kuibua hoja maridhawa tena fikirishi zaidi ya mgombea wa CHADEMA.

Hashimu Rungwe Spunda ataibuka na kura nyingi zaidi ya Tundu Antipas Lissu ambaye mpaka sasa hoja yake kuu ni kwamba alipigwa risasi hivyo anafaa kupewa kura...
 
Ndio maana unajiita msanii kwa sababu una mawazo ya kisanii.
 
Sio kwa kura real, bali zile za kutengenezwa na shetani mkongwe chichiem ili kumshushia hadhi Lisu.

Lakini waelewe kuwa Mungu na tekinolojia zitawaumbua.
 
Kati ya wagombea ambao si tu hawako serious, akini naona ni kama dharau kwa nafsi ya watanzania, ni huyu mgombea urais wa chama cha CHAUMA Hashim Rungwe.

Mzee Rungwe kaja na sera za Ubwabwa kwa watu wote, tena anasema atakuwa na sera za Ubwabwa toka Mbeya!!

image-25.png

“Kama Chama changu kitanipa ridhaa ya kuwa mgombea nafasi ya Urais sitaacha sera yangu ya Wanafunzi kupata chakula mashuleni mchana, ndio lazima wanafunzi washibe ubwabwa mtamu wa moto ili akili zao zichaji ni jukumu la Kiongozi wa nchi kuhakikisha wanafunzi wanashiba.” Hashimu Rungwe - Mwenyekiti CHAUMA

Is this guy serious or he is wasting the people's time?

UPDATE
Nasikia huko Mbeya kwenye msosi mwingi sera za ubwabwa haziuziki
1598904669131.jpeg
 
mzee mduanzi huyu anajua kabisa wasikiliza sera huwa ni walala hoi kwaio akiwa katika kampen zake wakat anatoa sera watu wanapiga ubwabwa pale
 
Back
Top Bottom