Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mkapa hakukosea wako ukawa wapumbavu na malofa. sasa kama wanamtaka lowassa si wasubiri oct 25 wamchague! au wanatala kama magufuli akichaguliwa amwachie kiti lowassa? akili yao mbaya kila kitu wanategemea uigizaji. fani ya uigizaji sio nzuri kwa mgombea urais.
 
Last edited by a moderator:
Namchagua MAGUFULI sichagui CCM hapa kazi tu
 
Lowasa ni sawa na babu wa loliondo yule wa kikombe kafifia na kuyeyuka maisha sio sherehe na uchaguzi ni beyond mikutano. Naamini watanzania wenyebbusara ni wengi magufuli is the man
 
We lazima utakuwa ni kipofu...

Rungwe ndio huyo kamponda lowasa na jimbo lake zima hakuna maendeleo watu wanatembea nusu uchi na wanavaa matairi ya malori ya lowasa

Dovutwa amesema kura zake ambazo angepigiwa na watanzania wampe dkt magufuli

Lowasa ndo huyo mzee wa kimavi
Anajinyea mda wote

Kweli sion rais tofaut na daktari mkemia john p magufuli
 
Lowasa ni sawa na babu wa loliondo yule wa kikombe kafifia na kuyeyuka maisha sio sherehe na uchaguzi ni beyond mikutano. Naamini watanzania wenyebbusara ni wengi magufuli is the man
Tarehe 26 ndio mwisho wa kelele na mwanzo wa uchapaji kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…