" magufuri hakupatikana kihalali katiba ya chama ilikiukwa" by kingunge; je unategemea nini akiwa rais?. Tunamsubiri kwa hamu siku kingunge akienda kwao kipatimu huwa anakawaida ya kuongea na watu kidogo pale nyamwage-rufiji. Tutamshukuru kwa kutuonyesha njia
We sho....g...A una shida sanaMagufuli yupo karibu na jamii
Sasa sisi tukusaidieje?Kura yangu kwa Magufuli 100%.
MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh
hii
Kura yangu kwa Magufuli 100%.
We sho....g...A una shida sana
aliyetangulia kuwa kwenye mfumo kati ya lowasa na magufuli ni nani kama sio lowasa? jibu ni kwamba waliosababisha maisha tuliyonayo haya ni pamoja na lowasa ,sumaye , kingunge na wengine wengi usibweteke na slogan ya mabadiliko juice ni ileile tofauti chupa tu.Mi mtu mnaishi gizani bado mnachagua CCM..Aliyewaroga alikwisha kufa..
MAGUFULI KAWA MCHARO:
Magufuli bhana,hadi raha kwa weli,kiongozi anaejua mikakati na nini wanainch wake wanaitaji:Hydom leo asbh
hii
Hakupatikana kihalali ivi watu wa ukawa nguvu ya kuzungumzia kutopatikana kihalali mgombea wa Ccm mnaitoa wap,kwan mgombea wa ukawa kapatikana kihalali ama uhalali kwenu upo katika standards gan?? Ccm ndo chama pekee kilichofata demokrasia ya kwel kupata mgombea wa urais achana na yule babu alidhan atafanya aliyo yafanya 2005 amesahau walie kua anataka mfanyanyia michezo alikua mwenzao anawajua vizur nje ndan,