Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Yani huu mgao wa umeme ndio unafanya nizidi kuichukia ccm na vibaraka wake
 

Attachments

  • 1444046224472.jpg
    23.6 KB · Views: 145
  • 1444046241883.jpg
    60 KB · Views: 139
  • 1444046279313.jpg
    54.2 KB · Views: 119
  • 1444046313886.jpg
    58.8 KB · Views: 128
  • 1444046333997.jpg
    38.7 KB · Views: 110
  • 1444046355593.jpg
    77.4 KB · Views: 113
  • 1444046401135.jpg
    49.3 KB · Views: 115
  • 1444046555139.jpg
    27.8 KB · Views: 121
Lengo lako ni kuonyesha hilo bango la Club of Magufuli ili muonekane mnapiga kazi... Ili muongezewe ela zaidi....

Bila shaka utakuwa unatoka UVCCCM Lumumba.... Bahati mbaya kwa sasa UVCCM hamthaminiwi tena, na jana Kingunge kawambia wakina Wema, Shilole wana thamani ndani ya CCM kuliko nyie watumishi wa UVCCM
 
Ccm kwa kuongeza chumvi...mi nilikwepo live watu wachache sn
 
Wakati wengine tunawajibu humu ni vitoto ambavyo havijui lolote. Kula kulala. Ni kama tunapoteza muda
Umesema kweli mkuu lakini tunawaelekeza ili wakija kuwa watu wazima wawe watu wazuri wenye manufaa kwa taifa.
 
Magufuli mnampaisha tu kwenye maandishi lkn ktk ukweli halisia magufuli hapendwi...watu wenywe walikuwepo wawili lkn mnavyopamba maandishi.duh
 
jamani mbona videos kibao za ccm zikionyesha watu wanashushwa na malori ni za nchi gani chenye chama cha ccm chenye mgombea magufuli????? acha kujitoa ufahamu aisee mnakera sana... unaandika bila uwoga eti UKAWA wanabeba watu kutoka maeneo ya karibu na mkutano wao...

KUFA mtakufa mwaka huu... 25 october tutapga kura kwa LOWASSA ..... maana kiuhalisia katika kila watu 100, ccm wako wawili.... wengine wote ni mabadilko... VIVA LOWASSA #MABADILIKOLAZIMA2015
 
magufuri , ccm walicheza bao la kisigino;

kuku alisha kamatwa kaacha manyoya .........
 

kwa taarifa yako yule unamwuita BABU ananguvu sana maeneo ya huku kuanzia RUFIJI, KILWA, KIPATIMU , LINDI, RUANGWA, MTAMA, MPAKA MTWARA..N.K. SIJUI KAMA CCM MTATOKA MWAKA HUU. WAZEE WETU WALIJIUNGA CCM KWA AJILI YAKE.

acha uongo wewe!
Nguvu ya kingunge unaipimaje?
Alishiriki katika jambo gani la kuhamasisha umma na akaweza kutokana na umaarufu wake!
Kumbe humu JF watu wanadanganya bila ya mpango wowote!
 

Vipi kuhusu Lowassa?, alipatikana kihalali?..Kwa kufuata taratibu za Chama?
 
Hivi chadema mnaenda mikutanoni kwa miguu au mnapanda Malori?

 
Huna jipya kijana. Magufuli anaiteka Tanzania kwa aina yake. Kijiji kwa kijiji huku jamaa yenu mkimpaisha kwenye miji mikubwa tu na kuacha kura za vijijini. Mtaisoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…