Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu













Wataisoma namba, watake wasi take. Mh. Magufuli anaendelea kuiteka Tanzania kitongoji kwa kitongoji. Hii hata Lowassa amesha kiri kuwa Mh. Magufuli amejipanga na anachukua nchi asubuhi.

Picha hizi ni ishara tosha kuwa Wakazi wa Dogobeshi wameamua kuipa kura CCM ambayo haina mpinzani katika Sera.

Mr. Chin
 
Basi tuu. Kama matusi ya kimoyomoyo yangekuwa yanatoboa joti angeshakuwa tenga. Nimeshamtukana sana kimoyomoyo kwa huu uppuzi wake.
 
[h=3]
[/h]









Kila sekunda zinavyo zidi kuyoyoma, ndio jinsi wananchi wanazidi kumpenda na kumhakikishia Mhe. Magufuli kuwa yeye ni Jembe la kipekee. Leo hii Mbulu ilisimama baada ya Mh. Magufuli kutinga na kusababisha maduka yote na kazi zote kusimama ili wamsikilize Rais wao wa Tano.

Mpigie Kura Mh. Magifuli.

Mr. Chin
 
Wulize Dogobeshi na Mbulu kwanini wamesema kura zao watampa Magufuli.

wamesemea wapi? mnakusanya watu kwa malori ,mnatembea na wasanii ili wananchi waje kwenye mikutano, hiyo ni dalili kwamba wananchi wameshawakataa tayari,
 
huu ujinga unaoeneza hauna tija kabisa! tuletee picha za hayo maduka yaliyofungwa
 
Wachumia tumbo mumebaki mnahangaika na Magufuli wakati Magufuli mwenyewe amechagua mabadiliko na tarehe 25 atampigia Lowassa kura.
 
zile youtong nane za babati zilifanya kazi yake ya kusombelea watu km kawaida??
 
Acheni kutishia Nyau,dozi imewaingia! Hata bikra huanza kwa kupga makelele mwishoe anatulia. Mangi nipe vocha ya Tigo ya 5000,mtandao mtamu sana huu

7000-5000=?pesa ya siku imekuishia, aaaaa wewe ni tigo si?karibu Pemba siee twapenda hiyo kitu yakheee
 
Hivi kale kajoti ni kadada au jinsia mke? yaani namaanisha ni msichana au mwanamke? kana macho mazuri tatizo shepu ya mdundiko, nani ana mnanilii yule? mana wenzake akina wema na joketi tulikuwa twajua chakula ya Domondo wa Tandale, yeye je?
 
…hawa watu wanaakili za samaki, hawakumbuki kuwa mwezao hadi leo yuko kitandani anaumwa…
 
Mwaka huu Watanzania wakiichagua CCM inabd tutafute madaktar tukapimwe wote kwa hali hii ya uchum??? Tutakuwa sio wazima haki ya Mungu tena.
 

Hata hii pia ni ni yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…