Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mmejitahidi kuforge,tuliokuwa kwenye venue tunaujua uhalisia.Ila kwa sababu ya publicity mwanahabari wenu ameweza kuchanganya picha na kuedit vizuri,lakini tuliokuwa jikoni tunajua siri ya mtungi.
 

hata ndoto za mchana JF zinaruhusiwa.
 

Mbona hoja yako imekaa kiudaku daku sana,,wewe kama sijakosea ni wale wanaoshabikia wavaa mlegezo,na wauza sura katika luninga.ndio wanakuaminisha kwamba Lowasa yeye kila kitu anatoa hela,mtu mwenye akili timamu. awezi kuamini hilo,tunaelewa kampeni zote za Vyama vya Upinzani zinaendeshwa vipi,ungeonekana wa maana sana angalau ungeuliza ,umeme hakuna,madawati hakuna,dawa hospitalini hakuna,hali tete nchini,hizo pesa CCM wanazowalipa wasanii kwenye Fiesta zao si zingesaidia hata tatizo moja kati ya hayo..matokeo yake hupo hupo tuu,umekaa unaleta pumba heti Lowasa analiwa hela.nyinyi ndio walewale ukipewa elfu 10 na kijana aliyekuzidi umri tuu,kesho unamwita mkuu ,akikusalimia unajibu ndio mkuu..acha utumwa wa mawazo mgando.badilika leo..Dunia za wenzetu walishaona haya mambo siku nyingi ndio maana unakuta wapo mbali,,,mmoja akivuruga anapigwa chini anaingia mwengine ambaye anajua kabisa hapa nikivuruga napigwa chini,hivyo atafanya juu chini afanye vizuri,lakini nyinyi mnaleta ushabiki kisa Diamond sijui Wema ,watawasaidia nini zaidi?Nchi aijengwi kwa usanii ,Nchi inajengwa kwa mbinu na kujituma kwa hali ya juu.
 
Mapema; vituoni tutawaacha ukawa na polisi wanalindana
 
UKAWA hawataamini na viongozi wao wshajua kua Lowasa hata shinda ila ndo hivyo washazipiga pesa zake nyingi wanaendelea kukomaa tu. Saizi wanaanza kulia lia ili kuwaandaa malofa wafanye fujo baada ya matokeo kutangazwa. Akijitahidi sana atapata 25%
 

Tumsamehe huyo mwehu! Kumbuka farasi anaekufa huwa anatupa sana teke! ccm wanakata roho mapema!
 
Tumsamehe huyo mwehu! Kumbuka farasi anaekufa huwa anatupa sana teke! ccm wanakata roho mapema!

Malofa na wanywa viroba mmekutana

Kati ya ccm na ukawa nan ana kata roho?

Magufuli ndio kura yangu
Na ndio rais wetu
Kampen N protocol tu
 
Malofa na wanywa viroba mmekutana

Kati ya ccm na ukawa nan ana kata roho?

Magufuli ndio kura yangu
Na ndio rais wetu
Kampen N protocol tu

Tutaona mnywa kiroba ni nani kati yetu na wewe ccm maslahi!
 
4u mvt bhana

Hivi kabisa uko serious na mawazo yako kwamba lowasa ndie rais ajaye

Hahahahhaahaha

Polen sana

Kwani kwa mawazo yako mnato unafikiri ni malocks? Hongera kwa mawazo kijani!
 
Kwani kwa mawazo yako mnato unafikiri ni malocks? Hongera kwa mawazo kijani!

Tatizo ccm mnafikiri MUNGU ni mjomba wenu na mnapanga na mtoto wa sultani ya kwamba eti hakuna raisi kutoka kaskazini! Hivi yeye ni MUNGU? Na mlivyo zezera mnapiga makofi na kushangilia huo upuuzi wa ukanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…