Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu


Kajipange kwa upya huna sera wenye akili wameshatambua
 
Watu wamesahau kabisa maana ya UKAWA.....nikukumbushe tu UKAWA ni umoja wa katiba wa wanachi.....Katiba ambayo ilizuia mianya yote ya unyonyaji na kurudisha mamlaka kwa wananchi,,,,ambayo Fisiem wamegeuza na kuweka mambo yao....Kwa hiyo makufuri na Fisiem yao ulikuwa mwiba kwa katiba yetu....
 
Jamaaa balaaa,anamnyima mtu usingizi,mpaka arusha anafanya kampeni mara nne nne

Jana alikuwa arusha
Lakin utasikia baada ya wiki moja atarud tena

wakat watu wa arusha washasema fisadi lowasa sasa bas
 

Kwan saiv tunatafuta katiba?
Utumbo mtupu
Viroba
 
Ukilinganisha na jinsi alivyosema na kutenda kwenye uzinduzi wa kampeni zake Jangwani,Dr. Magufuli amebadilika sana. Mwanzoni alikuwa akizungumzia hoja za Ilani ya CCM kwa umahiri na kueleweka.

Katika siku za karibuni,Dr. Magufuli amekuwa akisema na kutenda mambo ya kushangaza. Amepiga hadi pushup jukwaani pamoja na kurukaruka kama afanyaye mazoezi. Jana alipomuacha mgombea wake wa CCM na kumuombea kura Mrema wa TLP kwenye Ubunge wa Vunjo,amezidi kushangaza.

Kimsingi,lipo jambo lililombadilisha. Kama si uchovu itakuwa msongo wa mawazo. Au hata kukata tamaa kwaweza kuwa sababu ya mabadiliko yake.
 
Magufuli ni yule yule oh ni yule yule. Tumejipanga, mtaisoma namba, wapinzani wanatetemeka
 
Petro E. Mselewa

JPM ni mjanja sana. Anatafuta mbinu zake mwenyewe nje ya CCM kuingia madarakani.
Hataki aambiwe amewekwa marakani na CCM maana anakusudia kuwatia adabu viongozi waliokuwapo kabla yake. Ndiyo maana anasema chagua Magufuli, Serikali ya Magufuli, Tanzania ya Magofuli. Kwa mara ya kwanza nchi hii itakuwa na Rais dikteta na atatesa watu sana.

Salama ya JK na familia yake ni kumweka kando JPM.
JK aliposema serikali yake haina ubia ilikuwa anachekesha na ameshindwa, JPM anataka kumaanisha kweli kuwa hii yake ndo haina ubia kiukweli maana kila kitu ni yeye

Huyu Bwana ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…