Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Toa upu mbavu wako hapa na ulofa,wapi kamuombea Mrema kura,Mrema ndo kamuombea kura Magufuli na si vinginevyo.

Kiongozi!

Acha kutoa POVU. Kama huna unalolijua kwa nyakati hizi uwe unauliza. Huwezi kusikia/kuona kila kitu. Waulize waKAHE watakuambia mgombea wako kawaambia nini. Mbunge wenu alibakia kung'aa macho kumchuzi asiamini mgombea wako anacho kiomba kwa wa KAHE!!
 
Nimesoma,aliwaambia wamchague Shirima,ndo first choice hiyo,then akasema incase hawamtaki Shirima basi MREMA.Ila wewe lofa story ulivyoileta ni kama vile Magufuli first choice yake ni MREMA

Sio kila kitu lazima utetee.

Utajitukana mwishoni.
 
Huenda ameshaona upepo unaovuma utamfunua shati
kweli magufuli amekua tofauti, ila mi naamini huyo ndio "real magufuli"
huko kwingine alikua anafake

Huyu mzee amechakaa akili.

Kampeni sio mchezo.

Ilani ya page 230 sijui amefika page ya ngapi.
 
Huyu Magufuli inaonyesha kiasi amejikataa tamaa badala ya kueleza sera anafanya maigizo kwani watanzania tumemwambia tuna shida na maigizo yake mara push up ,na kuruka kuruka ovyo.



Lowasa huyo anakuja na tanzania mpya.
 
Bavaria

Nmecheki video yake hapa anacheza mapanga nimecheka sana plus this photo lol
 
Last edited by a moderator:
Anawaza:hivi nikishinda nitaapishwa na mchepuko!!!

Maana wife hataki kusikia hivyo vya urais.
 
Chadema mmeshikwa pabaya Magufuli na Kinana wako kivingine kabisa hamuwawezi mtakuja shituka mko kwenye Bus mnarudi mabao mmepigwa.

Lakini nawasifu baada ya kuona mgombea wenu anazidi kudhoofu mikutano yenu mmeamua kutorusha live ili mtudanganye na vipicha vya kuunganisha, Poleni
 
Toa upu mbavu wako hapa na ulofa,wapi kamuombea Mrema kura,Mrema ndo kamuombea kura Magufuli na si vinginevyo.

information is power, iunavyopinga jambo make sure kweli una taarifa sahihi na hii itakusaidia usiumbuke
 

mwanaume kubinuka jukwaani ni full aibu
 
Chezea mtu wa kukurupuka yaani ukimbishia kuwa ana nkono wa swete turiiiiiiiiii anatoa anawadhibitishia hadharani. Weka mbali na wa children
 
Kuna mgombea (jina kapuni) iko siku atafanya ya ajabu kuliko haya. Kuna utabiri walisema kuna mgombea atashikwa na kichaa jukwaani. Zamani ilikuwa inamtokea wanaficha, safari hii ni live. Mwezi unakaribia kuandama na mawingu yameanza kutanda. Nasikia kaanza kuombea wabunge wa upinzani, kitu kitakachofuata kumuombea urais lowassa tumalize kazi
 
mizungu na mazingaombwe hayo. ukawa ndio mgombea kachoka kishenzi. magufuli ndio kila leo anazidi kua noma. wataipata namba.
 

Inaonekana wengi hamfuatilii video mitandaoni, Magufuri atayari ameanza kuzungusha mikono akiimba mabadiriko Lowasa, search facebook kwenye Chadema blood utaikuta video ya leoleo.
Taarifa za mental case zinafahamika sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…