Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu



endelea kuushangaa ----- wako hivohivo mpaka siku ambayo magufuli ataapishwa.
 
Kauli hii ya Magufuli ya kuwa Rais mvua inyeshe isinyeshe anamaanisha nini?
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...
 

Kweli mkuu!
 
Toa upu mbavu wako hapa na ulofa,wapi kamuombea Mrema kura,Mrema ndo kamuombea kura Magufuli na si vinginevyo.
Kumbe Victoire una matusi namna hiyo. Mbona kaka wa watu kaandika Topic nzuri tu pasipo kutumia maneno makali. Hebu muombe msamaha basi. M PM umuombe msamaha kwani ndio uungwana. Hizi siasa zinapita na sie tunabaki.
 
Then watu wanachema ati angalau ukiingia JF utapata mawazo ya Watanzania a,bao wamekwenda shule kidogo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe hovyo wengi wameishia kulamba peremende ni fedheha iliyoje. Kumwamwini Mbowe anayewauzia mbuzi kwenye gunia. Ama kweli JF imeingiliwa na wasomi wa kugangaa njaa.
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...

Hahaaaa.. Mkuu kuwa makini utatukanwa muda si mrefu. Halafu jamaa alikuwa anamvutia kasi tu akijua itafika mahala atakutana na majaribu ya shetani. " SIASA ZINA WENYEWE WANDUGU "
 
lowassa alikua anawazunguka anawaacha waende anaenda mbali wakiondoka anaenda walipotoka maana yeye ni mwenyeji wa eneo husika kisiasa-wakiwa arusha anaenda kuhani msiba ,wakienda himo anaenda ghafla monduli wakija monduli anaenda -acha kabisa m
 
Nimesoma,aliwaambia wamchague Shirima,ndo first choice hiyo,then akasema incase hawamtaki Shirima basi MREMA.Ila wewe lofa story ulivyoileta ni kama vile Magufuli first choice yake ni MREMA

Kweli nzi ni nzi tuu
 
Kupewa dhamana ya kugombea na CCM mwaka huu, tena upambane na Lowassa ni sawa na kubebeshwa mlima Kilimanjaro kichwani...
Mzee hii post yako naitengeneza kwenye whatsapp ni irushe muda huu.Hahaaa
 
Hivi huku nyosso wa mbeya city hayupo ?? maana naona kijani kwa mbaali wanahasira yanawatoka tu
 
Mtatapatapa roho ziwatoke. Magufuli mashine ya kijelemani bana. Mikutano ishirini kwa siku na kesho yuko fit. Wacha bana.
 
Kwa uandishi huu sitakuwa na shaka wewe ni poyoyo Le mutuz
 
Kukatwa kwa jina la ENL dodoma ulikuwa ni mpango wa mungu wa kukifuta chama cha mapinduzi!!
 
Kumbe Victoire una matusi namna hiyo. Mbona kaka wa watu kaandika Topic nzuri tu pasipo kutumia maneno makali. Hebu muombe msamaha basi. M PM umuombe msamaha kwani ndio uungwana. Hizi siasa zinapita na sie tunabaki.
Hayo siyo matusi bwana,huo ni ukweli,kaandika kapindisha ukweli kama gazeti la NIPASHE vile
 
Inaonekana wengi hamfuatilii video mitandaoni, Magufuri atayari ameanza kuzungusha mikono akiimba mabadiriko Lowasa, search facebook kwenye Chadema blood utaikuta video ya leoleo.
Taarifa za mental case zinafahamika sana tu.

I saw it I saw it nmeogopaaaaa hahahahahahahahah yaan mpka 25 tutaona mengiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…