TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Bila kutumia usafiri wa anga hawezi kuicheza ngoma ya kusafiri na gari katika maeneo mengi hapa Tanzania.
Bila kutanguliza wapambe kwenye mikutano yake, hawezi kusimama bila kukaa kwa saa moja achilia mbali wananchi kukielewa kile anachokiongea.
Kwa sasa kila anapofungua mdomo, wananchi wanajiuliza maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kujieleza achilia mbali afya yake.
Wakiwa wanasubiri kuanza kampeni, Magufuli kwa sasa yuko huku,
Kamanda wanawake ndiyo wapiga kura huwezi kumkuta mwanamke kwenye maandamano utawakuta kwenye foleni ya kupiga kura.kazi anayo mbona ambao hawana unform wanamshangaa anashangiliwa na wanawake
Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.
Umoja ni Ushindi
Ndugu tumia akili ya kawaida! Wananchi hawaitaki CCM,Hayo yote kwenye ilani mlikua wapi 54 yote.Wananchi wanasema wanaenda kusikiliza tu sio kupiga kura, kwamba mabadiliko ni lazima CCM itatumia miujiza gani kutekeleza ilani yake wakati imeshindwa miaka yote 54.Bila kutumia usafiri wa anga hawezi kuicheza ngoma ya kusafiri na gari katika maeneo mengi hapa Tanzania.
Bila kutanguliza wapambe kwenye mikutano yake, hawezi kusimama bila kukaa kwa saa moja achilia mbali wananchi kukielewa kile anachokiongea.
Kwa sasa kila anapofungua mdomo, wananchi wanajiuliza maswali mengi kuhusu uwezo wake wa kujieleza achilia mbali afya yake.
Wakiwa wanasubiri kuanza kampeni, Magufuli kwa sasa yuko huku,
Magufuli anabeza utendaji wa Kikwete mbele ya wananchi! Subiri moto wa UKAWA uanze,ni kufuta kote alikopitia Magufuli na mkae kimyaa!Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.
Umoja ni Ushindi
Ndugu,Ninashangaa kwa nn hospital hamna dawa
Ninashangaa kwa nn vijana hawana ajira
Ninashangaa kwa nn TZ haina hata kiwanda kimoja cha kusindika samaki(Aliwahi kuwa hadi Waziri wa uvuvi)
Nashangaa kwa nn akina mama wanateseka kwa kutopata maji
Leo Kyela atashangaa kwa nn tuna barabara mbaya
What I can see ni usanii alio rithi toka kwa JK!Hakika watz sasa ni wkt muafaka wa kuwakataa hawa wasanii
MAGUFULI IS JK's THIRD TERM!Tukatae
Ndugu,Ndugu tumia akili ya kawaida! Wananchi hawaitaki CCM,Hayo yote kwenye ilani mlikua wapi 54 yote.Wananchi wanasema wanaenda kusikiliza tu sio kupiga kura, kwamba mabadiliko ni lazima CCM itatumia miujiza gani kutekeleza ilani yake wakati imeshindwa miaka yote 54.
Ukawa hawaendi kucheza ngoma wanaenda kufanya kampeniNdugu,
Kama maandiko huwezi kusoma, hata video huwezi kuangalia?
Sina zaidi!
Kila la heri ndugu na rafiki yangu MwanaDiwani.Magufuli na wananchi wapenda maendeleo ya kweli tunasema, #HapaKaziTu.
Umoja ni Ushindi
MwanaDiwani hii si ya hadhi yako,usiende chini kiasi hiki.Ndugu,
Unasema usanii?
Hufahamu kuwa kuna mgombea Urais wa Tanzania ambaye ana degree ya maigizo.
Majibu ya maswali yako yanapatikana ukiangalia hizo video.