Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hizi picha zinachosha, alafu ni aibu kwa mtanzania kujiita KIM KARDSIAN inakufanya uonekane limbukeni na mtu mwenye mawazo finyu
 
Wanalipa fadhira baada ya kula na kushiba wali wa sisiem.
 
si uende kwenye twitter yake,utajua movement zake,
sasa jitu zima kutunga mambo ya ukisebengo,tena asubuhi asubuhi maana ake ana kasoro


Mbona unapanic kuliko aliyeulizwa punguza hasira, avatar yako inaonyesha ulivyo
 
CCM kwani watu?

Si walidanganya Dr Slaa atauwepo jangwani na kujiunga Na CCM

CCM ni wezi na walaghai wa nchi hii
 
jibu simple sera haina mwisho,mpaka dunia ikiisha na wanadamu wasiwepo ndo mwisho wa sera

Matokeo ya sera nayo hayana mwisho, hadi dunia ikiisha? Endeleeni kujichanganya tu! Mkistuka tu, tupo magogoni!
 
tazama picha *14.jpg na *17.jpg mtu yuleyule mikutano tofauti...
 
Wana mbeya muulizeni awape majibu, miaka 54 ya sera zimetosha!

Kweli wewe ni mang'ati wa babati, miaka 54 huoni kilichofanyoka? Kweli hujitambui hata jinsia yako si bure, ulitaka uletewe pesa hadi mlangoni? Kama hujishughulishi?
 

Were ugeni si wako mbona unahawi kuandaa miswala ya kukalia. Asubhi yote umeshaanzisha Uzi.
 
tazama picha *14.jpg na *17.jpg mtu yuleyule mikutano tofauti...

huo ni mkutano mmoja mkuu,ni mji mdogo wa mbalinzi jiji mbeya,ni njia ya kuelekea tunduma ,wananchi walimuomba asimame awasalimie akiwa njiani kuelekea mbeya na hiyo ndio hali halisi
 

Mkuu umeongea yote..! Hao ndio wale WANAOSHANGAA ni kwa nini Tanzania ni maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…