Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kwakuwa walikuwa watu wengi maelfu ni rahisi kuona labda ni maandamano...hio inaitwa tsunami.
 
Mkuu magufuli ni mgonjwa bomu moja Anapoteza network
 


wafanya fujo wanapunguza kura kwenye vyama vyao
 
kama ccm wapigwe tuu kwani hakuna njia nyingine wapo ni wachokozi sana hawa magamba
 
Safi tu, wakifanya wao na wale wa UKAWA wanafanya kwa hiyo heshima iwepo tu.
 
ccm ni mabingwa wa kuteka watu na kungoa kucha

haya yamefanya na kinana ... yule bingwa wa kuua tembo wa tanzania

Hujengi unabomoa. Mungu akusamehe wewe na wote wanaofanana na wewe. Angekuwa ni mke wako amevamiwa na kupigwa ungelihusishaje na pembe za ndovu?
 
Hujengi unabomoa. Mungu akusamehe wewe na wote wanaofanana na wewe. Angekuwa ni mke wako amevamiwa na kupigwa ungelihusishaje na pembe za ndovu?

kinana ndio muuaji wa ndovu tanzania

kinana anafanya chochote kile kulinda ufisadi wa ccm

kinana ni kampeni meneja wa makufuli

kinana na wenzake walihusika kwenye utekaji wa ulimboka

Kinana na wenzake walihusika na mauaji ya mwagosi

kinana ndio kaanzisha hizo fujo feki za mbeya
 
Kwenye taarifa ya habari saa mbili nimeshangaa kuona maandamano ya magufuri kuelekea uwanjani.polisi walipiga marufuku maandamano nchi nzima lakini leo sijaona polisi wakipiga mabomu haya maandamano yasio na kibali

Nimekua nikiifutilia ziara ya magufuli kuanzia jangwani wiki inayomalizika,vijiji kadhaa vya mikoa ya nyanda za juu kusini simbawanga,katavi na hii mbeya na watu wengi wamekua wakimfuata naona ccm Ni kama tayari imeshashinda urais
 
Chata ya sugu ni ipi Malindika? Hii thread ni useless kama haina picha. Tumeona kwenye tivii kilichotokea acha kupotosha uma
 
Last edited by a moderator:

usishangae 20 ya magufuli shanga miaka 35 ya lowasa katika serikali amefanya nini ?

 
Pm alisema lugha inayoikitisha ati wapigwe tuu haya mwaya
 
Nimekua nikiifutilia ziara ya magufuli kuanzia jangwani wiki inayomalizika,vijiji kadhaa vya mikoa ya nyanda za juu kusini simbawanga,katavi na hii mbeya na watu wengi wamekua wakimfuata naona ccm Ni kama tayari imeshashinda urais
Siku utakapofuatilia ya Lowassa nafikiri utanganyikiwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…