Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

MPENDWA USIMRUSHIE MUNGU MAWE.

YATAKAPOKURUDIA MARA SABA UTAKOSA PA KUKIMBILIA. ZABURI YA 35, 109 na 91

Queen Esther

Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10
 
Mwili wa binadamu ni wa ajabu sana,unayeweza kumdhania kuwa ni mgonjwa na dhoofu kumbe ndio mwenye afya njema kabisa na akaishi muda mrefu kuliko huyo mwingine!!
 
Wana ukawa nimependa mentality yenu ya kutanguliza utu kwanza na kumpa pole magufuli badala ya kuchekelea na kumkejeli kama wana Ccm wanavyofanya kwa Lowassa
Sasa hapo ndio utajua tofauti ya wapumbavu,malofa na werevu kina Ben Mkapa
 
Mods wanajitahidi kufuta comments za watu lakini niwaambie ugonjwa haufichiki utawaumbua.

Magufuli ni mgonjwa wa moyo wa siku nyingi moyo wake umewekewa chuma kifaa cha kusaidia mapigo ya moyo, alishawahi kulazwa ICU General Hospital Dodoma, acheni watu wajadili kama wanavyomjadili Lowassa.

Get well soon.
 
Sio yeye tu kuna muigizaji mwingine ambaye ni huyu Lowassa huyu alikua serikalini kwa miaka 35 na amewahi kuwa waziri mkuu leo anakuja na ndoto za kuondoa umasikini......wizi mtupu

Yeye anaweza maana ana dhamira ya kweli kuliko magufuli.
 
Hiyo ni sauti, vipi zile 'battery' zikiwa low?

Acha werevu wamtukane na kumsema Lowassa vibaya juu ya afya yake ,sisi malofa na wapumbavu tunamwombea Magufuli afya njema
 

Umeugusa moyo wangu.
 
MPENDWA USIMRUSHIE MUNGU MAWE.

YATAKAPOKURUDIA MARA SABA UTAKOSA PA KUKIMBILIA. ZABURI YA 35, 109 na 91

Queen Esther
Wewe mama ni mnafki sijapata ona afya ya Lowassa kwako ndio agenda kila siku unamgonjesha Lowassa kwa kinywa chako leo unajifanya kuongea kipendwa.

Acha unafiki na ujue MUNGU hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna na utalipwa kwa kadiri ya ulimi wako koma kumtabiria mabaya Lowassa na ilo pepo la unafiki lishindwe kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth.

Get well-soon Magufuli.
 
Weka hapa Logo ya Sugu(Chata) tuijue na kama hakuna mtu aliyekamatwa jua ni CCM tu hao
 
Amina Ester
Eee BWANA , utete nao wanaoteta nami , Upigane nao Wanaopigana nami , ............Usimame Unisaidie , Waaibishwe , Wafedheheshwe, Wanaoitafuta Nafsi yangu ......

Huu Uzi ukiendelea kwa comments nzuri hivi hakika tutakua wapumbavu waliotukuka ,hongereni Sana
 
Betry low....awaachie wanaojua siasa.
Ndiyo maana Lowasa yuko technic sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…