Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu


Magufuli amesema kuwa Vijana wa Libya walichoka raha under Gaddafi! Wakaamua mabadiliko na sasa wanajuta! Nimeingia kwenye internet kufact find alichokisema. Soma hapa

https://www.quora.com/Was-Libya-better-under-the-rule-of-Gaddafi
Sio kweli vijana walichoka raha under Gaddafi. Pia vijana wa Tanzania hawajachoka raha!??? Ndio maana wanataka mabadiliko! What is wrong with this Gufuli?????
 
Kumbe UKIWA mnatamani kupita bila kupingwa tehtehteh
 

hawa vijana wanamuonyeshea Magufuli alama ya ✌🏿✌🏿,kweli watu wamechoka
 
Ingekuwa hajafika alipofika angehamia UKAWA tumchague tu..lakini tatizo ni huu mfumo wa serikali ya kutengeneza umasikini..
Mkuu kwa kweli kama wanashindwa kuratibu na kusimamia uzoaji wa taka mitaani unafikiri wanaweza kutatua vitu complex kama kukuza uchumi??
 

Lowasa mzoefu wa Siasa mikutano yake ni dakika 5-10 maana anajua kuna kazi kubwa mbele,sasa ye.Magufuli anapopoma dakika 30 kila mkutano mpaka mikutano 180 au zaidi iishe lazima chaji iishe tu
 

mkuu nimekubali kweli magufuli ni mtu sahihi ili tusichague chama tuchague mtu ,na magufuli atatusadie
 
Aah! Hivi hamuoni kuwa picha hizi zimeungwa ungwa? Zingine za Katavi, zingine za Dar + za Mbeya! Jambo ambalo CCM hawajajua ni kuwa wanaoona picha hz ni % ndogo sana ya Wabongo, Heri UKAWA ambao wafuasi wake wengi wanaenda wenyewe kwenye mikutano na hivyo hata magazeti na tv zinaonesha!
 
Hahahaaaa...mkuu ni wewe kweli????
 

Mpe za uso uyo kamgeuza Mungu mjomba ake, mkuu watu km hawa wamejaa wkijipambanua watakatifu kumbe mbwa mwitu
 

Ni namba ipi ambayo unaimiliki watakayoisoma?? Waswahili mna matatizo sana aisee!! Yaani kila kitu mnasema wataisoma namba. Hiyo namba mbona sijawai kuona madhara yake na ni namba gani hiyo????
 
Mkuu kwa kweli kama wanashindwa kuratibu na kusimamia uzoaji wa taka mitaani unafikiri wanaweza kutatua vitu complex kama kukuza uchumi??

kweli yeye ndo wa kusimamia kuzoa taka mjini?
manispa iko wapi tatizo hamjielewi mnachanganya mambo,kwa namna yoyote magufuli ndo rais ule mtandao wa majizi yaliyokalia kiti cha dr slaa kamwe hautaingia ikulu,

 
Kukaukiwa sauti ni kawaida, anywe maji mengi throughout
 
Nakuonea huruma hadi huu uchaguzi uishe nafsi yako itateseka sana..nenda tu polepole
 
Naliona tatizo kubwa kwa NEC. Kupanga kampeni nchi kubwa kama Tanzania kufanyika siku 60 na hali yetu ya miundombinu ni kuweka rehani maisha ya wagombea. Sijui kwa nini jambo kubwa kama hili linafanywa kwa zima moto.

Na huyu naye nilimshangaa eti hataki kutumia chopa!! Na baada ya hapo masharti ya kutumia yakaongezwa ili kuwakomoa wengine!!!!
 
Ni namba ipi ambayo unaimiliki watakayoisoma?? Waswahili mna matatizo sana aisee!! Yaani kila kitu mnasema wataisoma namba. Hiyo namba mbona sijawai kuona madhara yake na ni namba gani hiyo????

mkuu wakati sio wa majizi na wale wanaotumia mitandao ya kwenda ikulu ,wakati ni wa mtu wa mwenye akili na sifa za kuongoza nchi basi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…