Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Nimeangalia majukwaa mengine kuna thread za Magufuli huko Mpanda na JK arusha wala hakuna mtu anayechangia. Yaani muda mfupi kweli jamaa kawafuta kwenye media wenzie. Lowasa acha Sifa sasa wahurumie CCM.wamekoma hawatarudia tena!
 
mmetuibia tuna akili zetu je tukiichagua mipombe yenu tukalewa ndio mtatuua kabisa na kutufungia na mikofuli yenu hatutakiiiii mikofuli kapeleke chooni kitasa ndio mpango mzima wa nyamba bora naye ni lowasa hoyeeeeeee
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kutega na watu 60 UWT masikini ccm Mathayo pole sana
 
Nimeangalia majukwaa mengine kuna thread za Magufuli huko Mpanda na JK arusha wala hakuna mtu anayechangia. Yaani muda mfupi kweli jamaa kawafuta kwenye media wenzie. Lowasa acha Sifa sasa wahurumie CCM.wamekoma hawatarudia tena!
 



✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

Peopleeees'.......
 
ccm hawana jipya ndio maana wameshindwa kutuletea ilani yao wamekuja na ilani ya cuf ya mwaka 2010 kwa lugha ya kisasa wanakopi na kupesti
 
Mgombea Urais Mhe. John P. Magufuli akiwasili katika Kijiji cha Ifumbura, Kata ya Mishamo, Wilaya ya Mpanda, Mkoani Katavi huku Wananchi wakijitokeza kumpokea kwa wingi.

Hahahahaaaa MAKUFILIII kweli tunaiona Tsunami bhana. Magari mengiiiii kuliko idadi ya
binadamu, bila shaka Diamond huko hayupo hapo hahahaaaa!!!!!!

Alafu ile marufuku ya maandamano ya waenda kwa miguu na vyombo vya moto kipindi hiki cha kampeni Polisi waliitoa ili imuhusu nani eti?????

MKAPA woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Ninyi bishaneni mpaka mmalize lakini huku kwetu wameshasema ni lowasa tu mwaka huu, kwa hiyo ninyi pambaneni kujaza watu katika ma lory asubuh ...mchana ...na jioni......octoba 25 ni LOWASA TU.
Ahsante.
 
kweli lowasa maigizo mengi kwa kweli, hafai kuwa raisi, ataigiza sana akiingia ikulu wakati watu tunataka uchumi twende mbele
Maigizo aende kaole

bora maigizo kuliko huyu 'mchumi muigizaji' anayeondoka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…