MALINYIKWE2
Member
- Jul 11, 2015
- 70
- 12
Yaan kuna watu wengne kama wamelishwa nin sijui na mfumo uliopo wa ccm, hawatak ukwel kisa anaetoa ukwel ni mpinzan
Ni bora kubaki wachache ambao tunachukizwa na ufisadi kuliko kuwa na vibaraka wengi na wengine ni mawakala wa mafisadi kama MUSSA ALLAN
umeonaTushaamua,Lowasa ndio chaguo letu!
Watanzania tuna imani na Magufuli
Tatizo la waswahili, lugha yetu hatuijui na hatuielewi, za wenzetu ndiyo kabisa. Alimaanisha si rahisi mpande bure, sh mia mbili tu mchangie, maendeleo ni mimi wewe, yeye na Magufuli. Siyo Magufuli peke yake, kwan nchi yake peke yake, hata Ulaya au Marekani hakuna bure ya namna hiyo japo wao wana uchumi wa juu
Hawa ni umoja wa vyama vinne, lakini CCM ya Magufuli ilikuwa ni moja, hilo ni la kulifikiria, usione hayo manyunyu ukadhani oktoba 25 yatakuwepo yote, yatatawanyika kila mtu na chama chake.
Ccm kwa usafi gani aelekwezwe kibla?kwetu hamna bahari ziwa wala mto, so 25 nawachinjia mtaroni ccmAyaa wee! Mimi kichinjio changu nimeweka makali kama ya wembe. CCM akielekezwa kibla nikikata anakufa kwa sekunde moja! Vivaaaaa UKAWAAAAAAAA! VIVA Lowassaaaaaa! CCM na wasanii wake! UKAWA NA wananchi wake!
Magufuli haoneshi kwamba CCM haijafanya kitu hapo awali, ila anaonesha sehemu ambazo zinahitaji kushughulikiwa. Marekani ina zaidi ya marais 40 lakini kila anayekuja anatangaza sera mpya, ina maana kuwa Marais wa Marekani waliopita hawakufanya kitu chochote? la hasha bali hakuna uongozi unaoweza kufanya kila kitu na utambue kuwa mahitaji ya wanadamu hayaishi kamwe.
Magufuli ni mgombea mzuri na anafaa zaidi kuiongoza Tanzania kuliko mgombea mwingine yeyote; tumchague kwa maendeleo ya Taifa letu
#hapakazitu
usituzingue wala kutupga mkwara .we need mabadiliko


CCM wakitoboa mwaka huu najiuzulu siasa!...
Vijana wakifurahia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dk. John Pombe Magufuli mjini Songea.
Wewe ndo huelewi mkuu..huo umoja ndo umemsimamisha EL..sasa watatawanyika waende wapi?..mshachinjwa kubali yaishe!