Mkutano wa hadhara wa kampeni za ccm ndani ya uwanja wa maji maji songea,dkt John Pombe Magufuli alihutubia na kumwaga sera zak
ikungi
Nimemdharau sana Magufuli jana..Ile iliyozinduliwa jangwani ni Ilani ya bibi yake? Badala ya kuongelea mambo y a chama chake na vipaumbele vyao 38 yeye anaanza kusema UKAWA hawana ILANI huyu mzima kweli huyu?
Sawa tumekusikia..unalingine?ccm walikuwa wanasomba watu toka vijijini kwa malori....
Inaonekana hujawahi kufika Songea. Huo ndio uwanja wa Maji Maji. Mimi sio CCM kama wewe lakini pia uongo sipendi. Taifa kwanza, ushabiki wa vyama baadaye.
Acha kuweweseka wewe, lile jukwaa la Mpira siyo lile la dar, halafu Dar wengi walikuwa wamevalia kijani, hapo ni Songea, mtaisoma namba.Hii picha ni ya dar..tumeishaiona humu siku nyingi.tusipende uwongo.mimi ni ccm lakiniuwongo sipendi
Mkutano wa hadhara wa kampeni za ccm ndani ya uwanja wa maji maji songea,dkt John Pombe Magufuli alihutubia na kumwaga sera zak
Magufuli ikulu ileeeeeeeee...karibu tujenge Tainzania mpya
Hii picha ni ya dar..tumeishaiona humu siku nyingi.tusipende uwongo.mimi ni ccm lakiniuwongo sipendi
Dar wapi wewe pimbi angalia hilo jukwaa...huo unaitwa muweweseko...na bado
Ma CCM bhana cjui yakoje!!
Halafu haya yanayojidai mtaisoma namba hayajui hata huwa magufuli anaongea nini, kitu gani kinafanyika! Wao ni kupenda umbea umbea tu..
"Ama kweli kuielimisha mi Tanzania, ni sawa na kuielimisha mi wenda wazimu" ccm ccm kibwege -----.. Sijui inafurahi kuendelea kukatiwa umeme! Kulipa kodi kubwa ya bidhaa, nauli kupanda na thamani ya pesa kushuka!!!!!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums