Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hii picha ni ya dar..tumeishaiona humu siku nyingi.tusipende uwongo.mimi ni ccm lakiniuwongo sipendi
 
Hii picha ni ya dar..tumeishaiona humu siku nyingi.tusipende uwongo.mimi ni ccm lakiniuwongo sipendi

We Ndio muongo huoni kuwa hiyo ni football ground na kuna majukwaa??
 
Nimesikia itv watu wakaulizwa nan rais lowassa mpka deo kasaidia kusema magufuli!!!
 
Wazee wa sombasomba na malori ya viazi. Ngoja wanaume waje si mmejionea wenyewe kulijaa toka fire mpaka magomeni?
Hizo pilau na pombe za kuenyeji mnazohonga watz kila baada ya miaka 5 zimefika mwisho. Chama cha mafisadi ccm peleka mbali na watz
 
Back
Top Bottom