Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Una hakika gan wote hao wata vote for CCM cz hata mikutano ya Edo ina watu kibao vile vile.

Tatzo la hawa Green Team wanajaribu kuaminisha watu kwamba idadi ya wanaohudhuria mikutano yao = idadi ya kura watakazo pata.

#Fikiri.
basi kumbe mafuriko sio ndo idad ya kura
 
Nilishayaona haya mapema.....ona sasa wapinzania wanavyoangaika wamepotezana kabisa.....
 
haahahah watu kama wamepanic vile! , kwani vepe jaman??? rais ndo huyo hapo...sasa nashangaa ooh sijui watu wachache oh sijui nini, hahahah mtanyooka tu na bado
 
haahahah watu kama wamepanic vile! , kwani vepe jaman??? rais ndo huyo hapo...sasa nashangaa ooh sijui watu wachache oh sijui nini, hahahah mtanyooka tu na bado
JAMANI VIGODA 3 KATI YA 33 MNACHECHEMEA MNOOOO SUBIRI MUONE VIJANA TUTAVYO FURIKA NAILE SALAM YETU YA LOWASSA MABADILIKO MTAKOMAJeeeee
 
hahahahhaahha watu wamepanic, hapa kazi tu , hamtuambii kitu yaaani hata ccm iseme tutambae tutatambaa tu, hapa ni ccm mwanzo mwishoo mabadiliko pelekeni kwenye hali ya hewa
 
usiwe na pupa wiki ijayo el yuko apo utajipimia mwenyewe sunami

Hata angeenda leO ila watu bado wanamapenzi ya dhatI na kiongozi wao magufuli na wanampenda ndio maaana wanasubiri tu aapishwe #HAPAKAZITU
 
MGENI WA IFAKARA HUYO ACHANA NAE JUMANNE SIO MBALI ATAkimbia jukwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…