Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kweli kabisa uchaguzi umekwisha hate mi naona hivyo
 
kwa hiyo ndo unaamini green watakuletea maendeleo?? kwanza wewe unaishi dumila ipi juu au chini??acha kupotosha wananchi wa dumila washa amka sasa.
 

Hii nguvu ya kuongea ongea ujinga kwenye mitandao bila ushahidi wa kutosha itawatokea puani.
Mimi ni mkazi wa Turiani, mkutano wake pale uwanja wa kialawa ulidoda na umati wa watu haukufika hata robo ya ule uwanja wa mpira licha ya watu kusombelewa kwa maroli na mabasi kuanzia saa11 alfajiri.
Msafara wa Magufuli ulipita kwenye barabara ya Feri(Dumila)-Turiani-Mziha hadi huko Kilindi. Ni barabara ambayo mwaka2005 Kikwete wakati anajinadi alijiapiza kuwa ingejengwa yote kwa lami kabla hajaondoka madarakani kwani ilikuwa tayari ishafanyiwa upembuzi yakinifu kama barabara ya East Africa. Barabara ilitengewa pesa na ujenzi ukaendelea chini ya CCEC tangu 2010 wameweka lami kipande kido cha kutoka feri mpaka Mvomero ambacho hakifiki hata thelusi ya lengo la mradi licha ya kwamba mgombea wenu ndiye alikuwa waziri mhuzika mkuu alivyoulizwa kuhusu kustishwa kwa ujenzi wa barabara ile akaanza kubwabwaja tu na kuishia kusema eti bado tupo kwenye ujenzi wa madaraja zaidi ya miaka5 sasa na wakati huo wachina waliokuwa wakijenga barabara ile washarudi makwao zaidi ya miaka2 sasa!
 

mkuu subiri atatia timu huko....
 
maghufuli anazidi kuwadanganya watanzania mchana kweupe. ccm imekaa madarakani miaka 50 imeshindwa kutatua matatizo hayo. sembuse miaka mitano ijayo?
 

Hao unaosema wamepigika ndio wanapiga kura ya ndio kwa ukawa.
 

Ha ha ha ha ha ha ha ajabu saaaana yani turiani watu ndio hao hii aibu Pili vp dumila mkuu mbona huzungumzi yaliyotokea jana na makomeo kuishia barabarani
 
CCM OYEEEEE wanaenda Kijiji kwa kijiji. Ndio maana CCM itashinda maana inafikia kila mtu na sio mafuriko ya kutengeneza mjini. This is campaign my friend and not mafuriko ya mjini ya watu wale wale
 

Mkuu hivi dumila unapajua vzur au wapackia hzo picha za feri magole wanalazmisha ni Dumila wakat dumila hajafika
 
kwa hiyo ndo unaamini green watakuletea maendeleo?? kwanza wewe unaishi dumila ipi juu au chini??acha kupotosha wananchi wa dumila washa amka sasa.
Mkuu huyo jamaa aachananae dumila kama hhaijui 99% wamechukua ukawa serikal za mitaa HUKU WATU WANAMSUBIR RAIS
 
Nikusaidia kitu mr.chini, uwe unaandika maada za maana naza ukweli, we kila muda unaweka uzi alafu ukifungua hamna cha maana, forum nzima ni uzushi wako,wata kuchoka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…