Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

maghufuli anazidi kuwadanganya watanzania mchana kweupe. ccm imekaa madarakani miaka 50 imeshindwa kutatua matatizo hayo. sembuse miaka mitano ijayo?

Kama Miaka yote Ccm haijafanya kitu, huo uchapakazi wa Lowassa umeujuaje?
 
Magufuli wetu asijali Lowassa akipata urais atakuwa msimamizi mkuu wa tenda zote za kukusanya taka katika miji yote Tanzania kwa kuwa hiyo kazi ndo ana imudu.

Mwambie Kigeugeu kuwa Mh Magufuli ataanzisha mahakama kwa ajili ya Mafisadi.
 

na hapo ndipo ulipoharibu kabisa kama ulidhani unaitetea ccm
 
Kama ni kweli, hii ni double standard. Mbona Lowasa alizuiwa kutembea kariakoo hata kama alitaka kwenda kununua nyanya?
 

Tatizo husomi nilichoandika mi sijazungumzia idadi ya watu au nyomi. Nimezungumzia uwepo wake. Hata kama hawakuwepo wengi Turiani lakini si alipita na mlimwona na aliongea? Huyo mgombea wa Ukawa je? Hiyo ndiyo point yangu na usipoitambua basi hujui uchaguzi maana yake.
Usione pamoja na TV zote hata Marekani bado akina Obama wanaenda kila kona ya nchi na kuongea majukwaani.
 

Uchaguzi wa serikali za mitaa ni about local politics. Urais ni national. Jaribu kufuatilia uchambuzi utaona tofauti. Na hasa katika mwaka kama huu kukutana na mgombea urais - a national figure inaleta hamasa. Pia kutembelea kwa mgombea wa kitaifa huamsha yaani to galvanize local office. Yote mahesabu.
 
Waende kote ila wsijekujisahau wakakatiza kwangu
 
Siku hizi hawataji ccm wanataja magufuli kwa kuwa wameshaharibu jina la chama sasa wasijue watu siku hizi wanafahamu rais anafanyakaxi chini ya chama wanalo.
 
Akishapita na kumaliza Edo anafuata kwa nyuma.Mwaka huu mwizi anakimbizwa kimyakimya hadi apige kelele za wizi yeye mwenyewe.Nadhani mliona jinsi alivyorudi dar siku ile huku kijasho na kichozi cha mbali kikitoka.Teh teh teh.Mabadilikooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…