Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kuongezeka miaka mitano kwenye umri si haba jamani. Anahitaji kupumzika, lasivyo likitokea la kutokea hamtakosa la kusema pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna haja ya kuwaomba marais wastaafu Mzee Mwinyi na Kikwete ili waanze kumsaidia Magufuli, bila kujali kama Magufuli huwa anawananga hadharani kuhusu utendaji wao walipokuwa madarakani.
 
Mdahalo unatumiwa kwa ajili ya mtu kuelezea anakusudia kufanya nini na atatumia mbinu zipi kutekeleza makusudio yake.

Magufuli anatekeleza ilani kwa vitendo kila kukicha. Sasa mdahalo wa kazi gani wakati yeye mwenyewe na urais wake ni mdahalo tosha?.

Magufuli anatekeleza ilani yake, ila kazi ya urais ni ofisi ya umma, hivyo mdahalo ni sehemu ya kupima anachofanya ikiwemo na kujibu dukuduku la watu. Siku akifanya shughuli zake binafsi, hakuna atakayehitaji mdahalo na yeye maana wala hawezi midahalo.
 
Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.

Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.

Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.

Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.

Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.

Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.

Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.

View attachment 1567050
Pumzi lazima ikate,show ya mtu moja ajipigie kampeni,apige ya wabunge na madiwani anaoweza kuwadhibiti badala wawakilishi wa wananchi siyo kazi rahisi kihivyo.
 
Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.

Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.

Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.

Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.

Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.

Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.

Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.

View attachment 1567050
Pushup hazipo tena
 
Mwaka ule alipiga push-up ya nguvu iliyomwezesha kuzunguka nchi nzima safari hii ameishiwa pumzi mapema na hana jipya la kudanganyia wananchi amebaki kujitapa na mafanikio ya miradi isiyoonekana lakini takwimu kibao. Wananchi hawataki kusikia wimbo kila siku Magufuli angefanya hiki au kile kwa asilimia kadhaa kwa shilingi bilioni/trilion kadhaa, wanataka kuona mafanikio kama ilivyopangwa. Waone SGR imefika Moro Novemba,2019, Stieglers Gorge linajazwa maji, madege yanafika Chato kuchukua mbuzi na Wasukuma wameachana na Musukuma Bus Service. Miradi hiyo mitatu imesikika sana miaka 5 iliyopita wanataka iendelee kusikika ad infinitum!
 
Uwezo wa wanachadema kufikiri ni mdogo sana aisee
Ratiba ilikuwa inasemaje?? Tuanzie hapo. Kwanini ratiba iliyokwishapangwa ivurugike??

Maalim Seif kule Zenji bado hajatema nyongo. Mzigo wa lawama kabebeshwa yeye ataacha kuchoka??
 
Kwenye mikutano wasanii wanaenda kufanya nn? Hawa kina zuchu? Kwann wagombea wengine hawapewi airtime ya kutosha? Kwann magari ya ikulu yabandikwe karatasi za Ccm? Kwann mgombea wa CCM alipora KOROSHO za wana mtwara?
Umeongea mengi lakini ni malalamiko tu ya miaka yote.

Zuchu anakwenda kumburudisha mwananchi anayesikiliza sera.

Umeshajiuliza ni kwanini mikutano mikubwa ya Republican Party inakuwa na burudani za wanamuziki haswa wa kizungu?.
 
Magufuli anatekeleza ilani yake, ila kazi ya urais ni ofisi ya umma, hivyo mdahalo ni sehemu ya kupima anachofanya ikiwemo na kujibu dukuduku la watu. Siku akifanya shughuli zake binafsi, hakuna atakayehitaji mdahalo na yeye maana wala hawezi midahalo.
Madukuduku ya watu wanajibiwa na rais kwa muda wote anaokuwa ikulu.

Msafara unaposimama njiani rais huongea na watu na kuwauliza shida zao,anachokifahamu katika vikao vya aina hiyo ni zaidi ya mbwembwe za midahalo.
 
Back
Top Bottom