Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasimamia wizi wa KOROSHOHuo muda wa mdahalo unatumiwa kwa kampeni nyingine zenye tija zaidi.
Mdahalo wanafanya wagombea ambao hawajawahi kuingia ikulu.
Ule wa 1995 ulifanyika wakati wagombea wote hawajulikani kwa ukaribu kwa wananchi.
Leo Magufuli anajulikana anasimamia nini na ana maono gani.
Mikutano ya siasa hatuendi kama Chadema unakuta hata kijukwaa cha kuhutubia Lisu anasimama juu ya meza ya kuuzia mitumnba.Angalia vijukwaa alivyotumia Lisu bagamoyo na morogoro ni mgombea uraisi kusimama vijukwaa kama vya Lisu au Membe
Sisi quality ni muhimu kwetu mkutano uwe highly organuzed logistics zote yakiwemo majukwaa sound system nk Akienda akute kila kitu classic
😂😂😂😂😂 Daah! Wewe bhana Noma Sana aisee, Kwa hiyo hajajibu hoja siyo? 😂😂Mkuu hoja ni Magufuli kupumzika baada ya kuchemsha
Trump anaongoza Marekani na Magu anaongoza TZ.Anasimamia wizi wa KOROSHO
Ukatili na mauji ya wapinzani?
Kwa hiyo trump hajulikani kwa wamarekani? Mbona anashiriki MIDAHALO? huu upimbi utaisha lini hapo lumumba
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Yote haya Namlaumu mwenyekiti wa tume, angemkata tu Lissu kazi ingeisha
Mbona Lissu alipopumzika hamkusema haya msemayo!? Au ndiyo kule kukosa HOJA na kungoja kudandia MATUKIO!? Leteni HOJA jamani..!Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
IKULU sio IKURU....Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata
Kwenye mikutano wasanii wanaenda kufanya nn? Hawa kina zuchu? Kwann wagombea wengine hawapewi airtime ya kutosha? Kwann magari ya ikulu yabandikwe karatasi za Ccm? Kwann mgombea wa CCM alipora KOROSHO za wana mtwara?Trump anaongoza Marekani na Magu anaongoza TZ.
Trump alishiriki mdahalo mmoja tu na Hillary Clinton. Mwaka huu anafanya mikutano ya hadhara na ile sio midahalo.
kaoge ukalale we nunda!Mbumbumbu chadema
Mmoja anapiga chaka kwa chaka kwa njia ya barabara..kijiji kwa kijiji na anapiga mikutano na kukutana na voters.Sasa inakuwaje yule aliyekaa hospitali miaka mitatu anaonekana ngangari zaidi kuliko yule aliyekaa kwenye kiyoyozi Ikulu miaka mitano?
IKULU sio IKURU....
HAHITAJI sio AITAJI...
Hakujawahi kutokea uchaguzi RAHISI NA MWEPESI kwa CCM kama huu wa 2020. Hii ni kwa sababu wanaharakati hawana hoja za kuwaambia wapiga kura isipokuwa MATUSI NA PERSONAL ATTACKS tu ambavyo vinafanya uchaguzi huu kuwa utelezi kwa CCM.Amepuuza vilio vya watanzania kuhusu biashara zao kudorora, vijana kukosa ajira na kutoyakemea matukio ya utekaji, mauaji, matusi ya Musiba kwa wazee wastaafu na mengine mengi.
Alifanya maamuzi mengi kibabe. Mfano kukataza mikutano ya siasa, kukataza bunge kuwa live, n.k kwa kisingizio kuwa watanzania wachape kazi. Lakini yeye kutwa kucha yuko mubashara hata kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Laiti kama Magufuli angekuwa msikivu, mnyenyekevu na mpenda watu, uchaguzi huu ungekuwa rahisi kwake.