Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tunasibiri push upps , TulishazisahauKupumzika ni vizuri kwa afya,mwacheni mzee apumzike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasibiri push upps , TulishazisahauKupumzika ni vizuri kwa afya,mwacheni mzee apumzike.
Bila kujifariji kwa maneno kama hayo watakuwa na hali ngumu ya mioyo yao..wamefura wivu, hasira na chuki..kwa sasa tuwaonee huruma..tuwaunge mkono wanapojifariji.Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Sasa kama ni afya mbona juzi alikuwa anapiga push up kuonesha kuwa yuko fitAu inawezekana afya haimruhusu kuendelea na mikikimikiki ya kampeni. Tungoje CCM watujuze zaidi
Lakini kikubwa zaidi, wana CCM wengi hawana shauku ya kumpigania Magufuli kwenye kampeni za mwaka huu isipokuwa kwa unafiki na hofu tu ya kushughulikiwa.
Nilisema kati ya hawa watatuItakuwa ulimaanisha Membe, hawakufanya vizuri kwakweli.
Kampeni ni quality sio quantity angalia Lisu vimiikuttani vyake aluvyofanya idadi ya watu ndogo.,vijukwaa anavyisimamia very poor,picha za mikutano mnaweka ta my edit ya 2015!! CCM ?mumecheki?
Halafu tuko ndani ya muda sawasawa na ratiba ya tume Sasa hivi ni assessment na kupokea report kabla kuinuka tena sawasawa na ratiba ya tume
Member kakimbia ratiba ya tume katelekeza
Lisu pia karuka majimbo mengine hadi sasa
CCM tuko ndani ya muda na ndani ya ratiba ya tume.Hatujaruka Jimbo hata moja
👏👏Nilisema kati ya hawa watatu
Naona hawaamini sauti ya Mungu
Hawa watakuwa wanaenda kwa hashimu rungwe hawa.View attachment 1567006
Chadema bwana
Weka na Sheria ya uchaguzi ambayo inampa hicho cheo Cha urais....
Ilipaswa ht hao mawaziri waache kufanya kazi na kuwaachia makatibu wa wizara... Lkn kwa kuwa madaraka Ni ya kulevya wanajiona bado Viongozi.... Rais na mawaziri hawatakiwi kuwepo ofisini kipindi Hiki Cha uchaguzi..
amekata moto aisee
Inawezekana amepewa ushauri wa daktari, muache apumzike tu.
Sio kwa kila mtu .kuna watu wenye pesa zao cha kwanza anachojali ni quality bila kujali cost sababu pesa ipo.Anayejali cost sana ni lofa ndio maana tajiri yuko tayari kwenda kula chips mayai hoteli kubwa kwa gharama ya elfu 30 chips mayai mawili kuliko kula mtaani kwa mchoma chips mayai kwa shilingi elfu tatu mia tanoDah yaani principle yoote hiyo umeona uipeleke kwenye pilau tu?
By the way kwani tulikuwa tunaongelea mapishi? Kwenye jambo lolote lile time ni factor muhimu sana, kisha cost na quality.
Jambo linaloweza kufanywa kwa uharaka, kwa gharama nafuu na kisha likawa na ubora hilo linakidhi viwango vyote vya ubora.
MkuuKusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Kwa wasioelewa kama wewe unahitaji kuji kujifua ili uwamishe watu kwamba wanaokusaidia hata CHANJO ZA WATOTO na zaidi ya 50% ya bajeti yako ya afya ( CCHP) kupitia basket fund ati ni MABEBERU?Yaan hii nayo hoja? Rudi kajifue
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza ,kapimwe hospital uwezo wa ubongo wako kufanya kazi ,"swine"Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Nine like nimeona haitoshi, naongezea huku kwamba, Wewe ndo mkweli na unaupenda ukweli, ulichoandika ni ukweli tupu, Magu na apumzike hata wiki tatu, kwani Hana wasi hata kiduchuMwingine anaweza kusema mwaka 2015 alitumia nguvu kubwa na akapita maeneo mengi kwa sababu kazi ilikuwa ngumu hata matokeo ya Uraia yalisadifu hilo.
Mwaka huu kazi ni nyepesi mno, kila mtu anaona kinachotokea, mwitikio wa Raia kwake na kwa wapinzani wake. ACT wameshanyosha mikono, CDM ndiyo Kama hivo, Juzi uliona Raia wa pwani Kama vile hawamjui, Jana Morogoro mjini umeona hali mwenyewe, kule Mheza ilikuwa aibu. Hata Makamanda tangu Mlivyoposti picha za Mbeya, hamjaposti tena, utafikiri Mgombea wenu yupo likizo naye.
Sasa kwa namna hiyo kwanini asipumzike Budha. Game imekuwa nyepesi mno.
Kama umegundua, wanachokifanya CCM baada ya uhakika wa Kushinda, ni kuhakikisha mtu anapata kipigo cha mbwa koko, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Heee kulikoni Mkuu mbona ume-panic?Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Mshaurini apumzike home. Asipige kampeni.Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho. Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
Uzinifu lazima uchoshe mwili....Sasa inakuwaje yule aliyekaa hospitali miaka mitatu anaonekana ngangari zaidi kuliko yule aliyekaa kwenye kiyoyozi Ikulu miaka mitano?
Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata