Mshaurini apumzike home. Asipige kampeni.
Wewe kweri ni Rirowassa?Magu aitaji kabisa kufanya kampeni. Aludi tu ikuru akare bata
Mdahalo unatumiwa kwa ajili ya mtu kuelezea anakusudia kufanya nini na atatumia mbinu zipi kutekeleza makusudio yake.
Magufuli anatekeleza ilani kwa vitendo kila kukicha. Sasa mdahalo wa kazi gani wakati yeye mwenyewe na urais wake ni mdahalo tosha?.
mnakana watu wenu
Mi sijasomea kiswahili"aitaji = hahitaji
aludi = arudi
ikuru = ikulu
akare = akale
halafu unasema CDM wanauelewa mdogo???? 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Unauwezo mdogo saana wakufikiri we bidada 😀 😀 😀 😀 😀Mi sijasomea kiswahili
Ajabu ni Mtoto wa Waziri Mkuu mstaafuKiswahili hakijui vizuri japo mtanzania na yeye atasema amefuta UJinga...
Vijana wa CCM Ni hasara kwa taifa.
UmepanicPumba tu msukule wa lumumba
Pumzi lazima ikate,show ya mtu moja ajipigie kampeni,apige ya wabunge na madiwani anaoweza kuwadhibiti badala wawakilishi wa wananchi siyo kazi rahisi kihivyo.Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Ok sawa, wewe tuambie basi Jiwe kule kwenye kale kakisiwa maarufu kwa maghagula kilichoko kwemye Z. Bictoria kaenda kuenda kifanya nn?? Safari hii hawatamsaidia kitu lazima akate moto jukwaani.Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Pushup hazipo tenaKatika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Mwaka ule alipiga push-up ya nguvu iliyomwezesha kuzunguka nchi nzima safari hii ameishiwa pumzi mapema na hana jipya la kudanganyia wananchi amebaki kujitapa na mafanikio ya miradi isiyoonekana lakini takwimu kibao. Wananchi hawataki kusikia wimbo kila siku Magufuli angefanya hiki au kile kwa asilimia kadhaa kwa shilingi bilioni/trilion kadhaa, wanataka kuona mafanikio kama ilivyopangwa. Waone SGR imefika Moro Novemba,2019, Stieglers Gorge linajazwa maji, madege yanafika Chato kuchukua mbuzi na Wasukuma wameachana na Musukuma Bus Service. Miradi hiyo mitatu imesikika sana miaka 5 iliyopita wanataka iendelee kusikika ad infinitum!Katika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Ratiba ilikuwa inasemaje?? Tuanzie hapo. Kwanini ratiba iliyokwishapangwa ivurugike??Uwezo wa wanachadema kufikiri ni mdogo sana aisee
Chekechea wanataka kumuona DiamondSorry mkuu,hao huwa ni wanafunzi ni wa kada zipi vyuo,msingi, au sekondari
Umeongea mengi lakini ni malalamiko tu ya miaka yote.Kwenye mikutano wasanii wanaenda kufanya nn? Hawa kina zuchu? Kwann wagombea wengine hawapewi airtime ya kutosha? Kwann magari ya ikulu yabandikwe karatasi za Ccm? Kwann mgombea wa CCM alipora KOROSHO za wana mtwara?
Kapumzika au hajapumzika? Mara paaap NEC wanasogeza mbele siku kulipizia siku alizopumzika!Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Madukuduku ya watu wanajibiwa na rais kwa muda wote anaokuwa ikulu.Magufuli anatekeleza ilani yake, ila kazi ya urais ni ofisi ya umma, hivyo mdahalo ni sehemu ya kupima anachofanya ikiwemo na kujibu dukuduku la watu. Siku akifanya shughuli zake binafsi, hakuna atakayehitaji mdahalo na yeye maana wala hawezi midahalo.