Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

JPM hana mpinzani wa kumpa Challenge uchaguzi uu, Lowasa kidogo alijitahidi. Kwasasa ata akifanya kampeni wiki moja kabla ya uchaguzi inatosha.
 
JPM hana mpinzani wa kumpa Challenge uchaguzi uu, Lowasa kidogo alijitahidi. Kwasasa ata akifanya kampeni wiki moja kabla ya uchaguzi inatosha.

Amefanya kazi kubwa sana. Humu jukwaani baadhi ya watu wanajaribu kujenga taswira ya uongo kuhusu uwezo halisi wa Tundu Lissu.
 
Ratiba ilikuwa inasemaje?? Tuanzie hapo. Kwanini ratiba iliyokwishapangwa ivurugike??

Maalim Seif kule Zenji bado hajatema nyongo. Mzigo wa lawama kabebeshwa yeye ataacha kuchoka??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Tufanye basi kapumzika sababu anamhofia Lisu na kashakata tamaa maana Lisu anampeleka puta. Na Lisu hapo oktoba 28 atapata ushindi wa 98% huku 2% wakigawana Magu na wagombea wengine.
 
Pumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.

Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
Aliwadhibiti watu wa chama chake kwa kutotaka mtu amseme hakujua yuleee alieonja mauti yuko njiani na sasa ni uso kwa uso huyu anatakiwa kudhibitiwa hata kwenye bao la mkono sema hii tume mmmmm!!
 
Lazima atembelee gamboshi kama kawaida yake la sivyo mambo yake hayaendi vizuri.
Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Sasa inakuwaje yule aliyekaa hospitali miaka mitatu anaonekana ngangari zaidi kuliko yule aliyekaa kwenye kiyoyozi Ikulu miaka mitano?
Mbumbumbu chadema
Kupumzika ni vizuri kwa afya,mwacheni mzee apumzike.
Kampeni ya CCM ya safari ni ya kisayansi zaidi CCM hatuna mcheche hutuoni na helikopta wala ndege slow but sure
 
Hata kwenye kuanza kampeni hawakuanza siku moja, hata huyo mwengine atapumzika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…