Kwa akiamua kuwaambia tume waweke ratiba za mapumziko anashindwa?.... Magufuli si ndiye anayeteua tume na kuiamrisha atakavyo?Nashindwa kuelewa weredi wa wachangiaji wa hii post, hivi ni kweli kwamba nyote hamjapitia ratiba ya kampeni ya wagombea wa kiti cha urais?
Tarehe 9 anafanya kampeni Chato, baada ya hapo anapumzika siku tano, kisha ataendelea tarehe 15 huko Bukoba.
Wakati mnawalazimasha vijana kutumia kadi za mpiga kura kuwa kitambulisho, kupatia dhamana polisi nk ndio mlipo wapa uwezo wa kuwachinja sasa.Hao hata muda wa kujiandikisha hawana
Kitu spana mkononi hiki kiburi cha bure tuKatika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Na hapo hakuna hata muimba kwaya acha msanii hata mmoja!kama hivi tulivyofanya facebook huko ifakara instagram.com
View attachment 1568358
😅😅Na hapo hakuna hata muimba kwaya acha msanii hata mmoja!
Juzi nilimuuliza mtu mmoja alihudhuria mkutano wa Magu Shinyanga, jee CCM na magu wamesemaje? Akanijibu sijui, nilienda kumuangalia Chege wa TMK
Kwa akiamua kuwaambia tume waweke ratiba za mapumziko anashindwa?.... Magufuli si ndiye anayeteua tume na kuiamrisha atakavyo?
Kwani wale milioni 29 mliosema wamejiandikisha kumbe kuna wengine hawamo kwa vile hawajahakiki?Walienda kuhakiki taarfa ? Si mlijifanya mmegoma ? Kutokana na serkali za mitaa [emoji3][emoji3]
Kajipange upya!! Mtajua hamjui mwaka huuHapo waliohakiki Ccm peke ina wanachama milion 19 bado mashabiki na wafuasi
Nilikuwa nakudharau kidogo ila sasa nakudharau sana!!Hahaha Mkuu tayari Ccm ina wapiga kura milion 19
Kampeni za Magufuli zimevuta wapi kura milion tano wasio kuwa na chama, jumla milion 24
Sasa hivi tunawatafuta milion tano waliobaki
Jibu swali, how comes unatoa takwimu za wapigakura wakati kura ni siri???Huwa najisikia faraja mtu wa Chadema akinidharau Kwasababu wengi wao akili ni kisoda
Jibu swali, how comes unatoa takwimu za wapigakura wakati kura ni siri???
Hahahaaa...... Tundu Lissu alishasema hakuna aliye salama akasema zaidi kua hata kinana na makamba hawako salama na hakuna aliyekanusha😄😄😄😄Na wewe nyumbu wa kinondoni ufipa, shwine wewe
Amna shida misukule ya lumumba unatetea ushetaniUmepanic
Misukule ya lumumba haijawahi kua na hoja.....Too defensive, which means hoja imekuingia teh teh teh
Tume huru ikija bado litatafutwa lingine la kulalamikia.
We huwajui misukule ya lissu? Kazi yao kuropoka ropoka ovyo kama wamerukwa na akili vile! Kila jambo la magu kwao ni hoja ya kuifungulia uzi! Mpaka oct 28 watakuwa na hali mbaya sana hawaWakubwa! Hivi mmeangalia ratiba ya kampeni? Mpaka mnakuja ajenda, kila mgombea ana muda wa kupumzika hata TL alipumzika siku 2 tarehe 8&9 hii ni kutokana na muongozo wa ratiba ya NEC.
HUJIELEWI!Acha kupotosha ...ccm Aspirant has tired, for unknown disease.
Angalia TBC blaza shida mnashindanisha Rais na mtu ambae bado anatafuta kazi.....mwenzie leo ana majukumu ya kitaifa huyo mwengine aendelee kupuyanga tu atembeze CV ili apate kazi anayoisaka kwa hamuPumzi imekata! Lissu hafai aisee!! Alijua mwaka huu atateremka tu mlima kitonga! Kisa amenunua ndege na kujenga flyovers. Alichokutana nacho, hatokuja akisahau kamwe.
Hili ndilo somo sahihi la kudhani maendeleo ni VITU pekee!
Angalia TBCAcha kupotosha ...ccm Aspirant has tired, for unknown disease.