Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Magufuri bila hata kufanya kampeni atashinda, akiyoyafanya miaka hii mitano ni kampeni tosha
 
Mtwara hawataki maneno, wanataka walipwe pesa zao wanazodai kudhulumiwa na serikali kwenye ununuzi wa korosho.

Pia msisahau kumkumbusha mama Samia kuwaomba radhi wanaMtwara kwa niaba ya boss wake kutokana na ile kauli yake ya kuwatishia kuwatandika virungu mpaka mashangazi zao ikiwa wataendelea kuwa na kihehere cha kudai pesa zao za korosho.
 
Mtwala wataambulia kukata mauno tu. Kura ni chadema na ACT wazalendo
 
Mtwara hawataki maneno, wanataka walipwe pesa zao wanazodai kudhulumiwa na serikali kwenye ununuzi wa korosho.

Pia msisahau kumkumbusha mama Samia kuwaomba radhi wanaMtwara kwa niaba ya boss wake kutokana na ile kauli yake ya kuwatishia kuwatandika virungu mpaka mashangazi zao ikiwa wataendelea kuwa na kihehere cha kudai pesa zao za korosho.
Maza anakwambia eti tumeshalipa bil. 20 za hizo korosho ila hawa jamaa wa chama cha ushirika ndio waulizwe zilipo.

Viongozi sometimes hawanaga aibu kupiga watu saundi.
 
Kwa hiyo tume huru hapana ili walalamike kwa hili ambalo ni wazi mno kwa mtu yeyote kuona kuwa siyo siri bali ni ukweli ulio wazi Kwamba CCM ni dhulumati.

Umeeleweka mkuu.

Ukizoea kulalamika utafanya hivyo mpaka siku yako ya mwisho duniani.
 
Yes, alipuuza hata wasahauri wake pamoja na viongozi wa dini waliomtaka kukutana na wapinzani ili wajadiliane namna bora ya kufanya siasa kwa maendeleo ya Tanzania ya leo na kesho! Yeye na wanaccm wenzake wakaamini kuwafungia wapinzani wasifanye siasa ndio njia kuistawisha CCM na kufanya kampeni za mwaka huu kuja kuwa nyepesi za kupita kwa kishindo, Aisee hapo wameshindwa vibaya!
 
Mtwara hawataki maneno, wanataka walipwe pesa zao wanazodai kudhulumiwa na serikali kwenye ununuzi wa korosho.

Pia msisahau kumkumbusha mama Samia kuwaomba radhi wanaMtwara kwa niaba ya boss wake kutokana na ile kauli yake ya kuwatishia kuwatandika virungu mpaka mashangazi zao ikiwa wataendelea kuwa na kihehere cha kudai pesa zao za korosho.
Mambo walishalipwa kitambo pesa za korosho na kama haitoshi haukuona wanajeshi walienda kusimamia malipo?
Rais na Mgombea wa CCM Dkt Magufuli anakubalika sana mtwara kwakuwa amewajali wananchi wa chini na anaweza kuongoza nchi bila Ubaguzi
 
Maza anakwambia eti tumeshalipa bil. 20 za hizo korosho ila hawa jamaa wa chama cha ushirika ndio waulizwe zilipo.

Viongozi sometimes hawanaga aibu kupiga watu saundi.
Amesema wapi haya mambo ebu acheni kumlisha maneno fuata link ukamsikilize vizuri Kusini Kuchelee na 2020 wamefanya maamuzi ya kwenda kumchagua Dkt Magufuli kwa nafasi ya urais
Ubunge na Udiwani pia ni mwendo wa kuchagua CCM kwakuwa ndio walioleta maendeleo ya kusini na kupandisha soko la korosho Tanzania
 
Hivi ile gesi ya Mtwara iliishia wapi?
Mwambieni mama Samia aifafanue kwa wanaMtwara.
Gesi ya mtwara ndio fahari ya kusini maana hata umeme unaotumika ni kutokana na kazi hiyo lakini pia gesi ya matumizi ya nyumbani kwa mtwara imeshuka sana yaani hadi rahaa wanamtwara kucheleee 2020 wanaenda kuichagua tena CCM na Jemedari wake Dkt MAGUFULI
 
IMG_20200913_150556.jpg
IMG_20200913_150545.jpg
IMG_20200913_150556.jpg
IMG_20200913_150537.jpg

IMG_20200913_145022.jpg

Asante sana Kusini #Kaziiendelee
 
Back
Top Bottom