Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sasa ulitaka wachutame au?Hahahahaha wamekaa ili waonekane wengi...
Unadhani safari hii mtaiba kura na kutangazwa kwa nguvu? Subiri , ikibdi ahat UN itaingilia kati!Kama kuna kosa ambalo wapinzani watalijutia sana ni kushindwa kupambana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ushindi wa Kishindo ilioupata CCM ndio muelekeo rasmi wa Ushindi wa Magufuli,wabunge na Madiwani wa CCM.
Mtaji wa wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijiji ni mtaji mkubwa na hazina kubwa ya Ushindi.
Chadema wangekuwa na busara wangesitisha kampeni. Maana wanapoteza pesa bure. Hizi pesa wanazatotumia wangetumia kujengea ofisi za chama chaoKwa jinsi utafiti uliofanyikak, Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
Na kama Uchaguzi Mkuu utafanyika October atashinda 97%
Huyo ndio Rais Magufuli, mwana wa Africa
Mbona anachangisha watu tena?Zile ni pesa za bure lissu alipewa na robert
Kama kuna kosa ambalo wapinzani watalijutia sana ni kushindwa kupambana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ushindi wa Kishindo ilioupata CCM ndio muelekeo rasmi wa Ushindi wa Magufuli,wabunge na Madiwani wa CCM.
Mtaji wa wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijiji ni mtaji mkubwa na hazina kubwa ya Ushindi.
Ajabu hiyo na hizi 13000 za waalimu ambazo ni kiduchu tu ukilinganisha na bachi za walimu zilivyolaliana huku kitaa utashangaa tena unazitoa wakati wa kampeni kama sio rushwa ni nini???mimi nasema tena kuwa kama si tume ya uchaguzi biashara ingeisha mapema asubuhi,jiwe hata kaa asahau pamoja na yote anayodhani ni maendeleo lakini ili watu waje kwenye mkutano sharti wasanii lukuki wawepo hili ni jambo la aibu sana.Wamegundua wananchi hatuwasikili, ilani yao imejaa ulaghai mtupu, eti ajira mil, 8, zitatoka wapi?
Jikite kwenye mada...mtaji wa kura upo ccmUnadhani safari hii mtaiba kura na kutangazwa kwa nguvu? Subiri , ikibdi ahat UN itaingilia kati!
Ndio pa kutakatishia hukoMbona anachangisha watu tena?
Wewe sio jinga.anyway jpm alijua amefuta upinzani.kumbe sio.ccm oyeeKama kuna kosa ambalo wapinzani watalijutia sana ni kushindwa kupambana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ushindi wa Kishindo ilioupata CCM ndio muelekeo rasmi wa Ushindi wa Magufuli,wabunge na Madiwani wa CCM.
Mtaji wa wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijiji ni mtaji mkubwa na hazina kubwa ya Ushindi.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ulibakwa kwa nyuma,Kama kuna kosa ambalo wapinzani watalijutia sana ni kushindwa kupambana na CCM katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Ushindi wa Kishindo ilioupata CCM ndio muelekeo rasmi wa Ushindi wa Magufuli,wabunge na Madiwani wa CCM.
Mtaji wa wenyeviti wa Serikali za mitaa na vijiji ni mtaji mkubwa na hazina kubwa ya Ushindi.
Jibu swali imeishia wapiGesi ya mtwara ndio fahari ya kusini maana hata umeme unaotumika ni kutokana na kazi hiyo lakini pia gesi ya matumizi ya nyumbani kwa mtwara imeshuka sana yaani hadi rahaa wanamtwara kucheleee 2020 wanaenda kuichagua tena CCM na Jemedari wake Dkt MAGUFULI
Hapa nilipo sioni mbunge wa CDM akipiga kampeni yaani hawana sera na hawana fedhaWewe sio jinga.anyway jpm alijua amefuta upinzani.kumbe sio.ccm oyee
Kila mwaka na kila uchaguzi lazima muwe na hivyo visingizioOhoooo! Umesahau mazingzong ya ule uchaguzi wa serikali za mitaa?