Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kwa jinsi utafiti uliofanyikak, Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
Na kama Uchaguzi Mkuu utafanyika October atashinda 97%

Huyo ndio Rais Magufuli, mwana wa Africa
Mimi nahisi ni 100%. Hivi serikali za mitaa kulikuwa na uchaguzi au ni uchavuzi na uporaji wa haki za watanzania?
 
Ule ulikuwa ni uchafuzi
 
Baada ya kushuhudia ya leo nimeamua kupiga kambi humu humu Chato ambapo kesho kuna burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii takribani 10 wakiongozwa na Harmonize, Juma Nature na Stamina wakinogesha kampeni za urais za CCM

Awamu hii wasanii zaidi ya 100 wamegawanyika maeneo mbali mbali ya Zanzibar na Tanganyika kwaajili ya kunogesha kampeni za CCM ambapo kwa jana pekee huko Tanga mgombea ubunge wa Tanga mjini kupitia CCM Ummy Mwalimu alikuwa na wasanii kumi akiwa mgombea ubunge wa kwanza kutia fora kwa lundo la wasanii.
 
Wenzetu maccm , hizi fedha za kugharamia hayo yote wamezitoa wapi au ndio fedha za mabeberu?
 
Tunashukuru kwa kuendelea kufuatilia na kutuhabarisha juu ya kinachojiri kwenye kampeni za kipenzi cha watz ndugu John Pombe Magufuli.

Usisahau pia kutuhabarisha juu ya habari za rais wetu wa Zanzibar, ndugu Husein Mwinyi.
 
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki

Chadema magundu

Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Mkeo anajua kama unachamba mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…