Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Chadema kuleni tu ruzuku na makato ya mishahara ya wabunge na kuendelea kuwachangisha wajinga,CCM ni kina kirefu
 
mbna kama naona wasanii waliokua chadema kipindi cha nyuma nn kimetokea tena
 
Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki
Chadema magundu
Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
👇
Uchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu
 
Mambo walishalipwa kitambo pesa za korosho na kama haitoshi haukuona wanajeshi walienda kusimamia malipo?
Rais na Mgombea wa CCM Dkt Magufuli anakubalika sana mtwara kwakuwa amewajali wananchi wa chini na anaweza kuongoza nchi bila Ubaguzi
Kila sehemu anakubalika anaangaika na nini sasa, wasanii, tv, malori, mauno ya nini yote haya?
 
Msanii mshamba ndio anaweza kuji identify na chama cha siasa, ndio maana kavaa li trench coat zito ambalo haliwezi kuwa fashionable kwenye tropical country....
Acheni kulialia, chadema hadi wasanii wamewakataa
 
Dr Magufuli ili kupata urais alionao alimshinda Lowasa x 2, Membe, Makamba, Migiro, Pinda n.k . Nawakumbusha hili kama mmelisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…