T2020JPM
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 635
- 263
That's for you to ponder"matiti" ni tusi au sio tusi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's for you to ponder"matiti" ni tusi au sio tusi!?
👇Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki
Chadema magundu
Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Uchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu
Kila sehemu anakubalika anaangaika na nini sasa, wasanii, tv, malori, mauno ya nini yote haya?Mambo walishalipwa kitambo pesa za korosho na kama haitoshi haukuona wanajeshi walienda kusimamia malipo?
Rais na Mgombea wa CCM Dkt Magufuli anakubalika sana mtwara kwakuwa amewajali wananchi wa chini na anaweza kuongoza nchi bila Ubaguzi
Punguza jazba comrade huko mtwala ndo wapi? Hapa tunazungumzia MtwaraMtwala wataambulia kukata mauno tu. Kura ni chadema na ACT wazalendo
Acheni kulialia, chadema hadi wasanii wamewakataaMsanii mshamba ndio anaweza kuji identify na chama cha siasa, ndio maana kavaa li trench coat zito ambalo haliwezi kuwa fashionable kwenye tropical country....
Snura atakuwepo mzee maana navutiwa sana na wacheza shoe wake wamejaliwahhhh churaKupendwa raha sana chadema hadi wasanii wamewakataa
Safi sana na enjoy kuangalia misambwandaNyuma ya wasanii 100 kuna kura ngapi??
Upo sawa.Snura atakuwepo mzee maana navutiwa sana na wacheza shoe wake wamejaliwahhhh chura
Ova
Umeona misambwanda na mauno lknChadema magundu, msanii akienda Chadema anajitengenezea gundu
Upo sawa comradeWe Huoni au hufatili burdan mzeee
Unapitwaaaa
Ova
Bashite jioni akimaliza kamoenu watakuwa wanaungana kwaajili ya tahmini.Bashite hayumo kwenye msafara huo?
taja matusi at least 2 anayotukana Tundu Lissu.