Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Shukrani zimwendee Museveni kwa kolabo ya kuokoa jahazi na hoja mpya uliyoleta ya ujenzi wa bomba la mafuta litakaloleta ajira kwa wananchi na wapinzani pia watapata, hilo ni toleo jipya kwenye albamu yenye nyimbo tano SGR, Bwawa la mwal. Nyerere, Flyover ya Ubungo, Flyover ya Mfugale na Chato International Airport.
 
Alimshinda Lowassa. Au unataka Lissu angewashinda nani kabla ya kushindana na mgombea wa sasa wa CCM?
 
Magufuli hakumshinda Lowassa, acha kujidanganya mwenyewe. Magufuli alietangazwa na kina MAJECHA wa NEC. Safari hii tutapasuana matumbo tulane maini. Hatuta kubari UJECHA popote.
 
Hivi naachaje kumchagua Lissu wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private???

Hivi naachaje kumchagua Lissu ambae anarudisha makato ya mikopo ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 15 ya magufuli hadi asilimia 6???

Hivi naachaje kumchagua Lissu ambaye ametoa Sera ya kunijali mimi mlioandika kodi na mfanyabiashara kwa kuniwekea mswada wa kunilinda mimi mlipa kodi ili TRA wasininyanyase????

Hivi na Haji kumchagua Tundu Lissu ambaye hataniwekea mipaka kwenye masoko ya kuuza mazao yangu niliyoyalima kwa jasho kubwa????

Hivi naachaje kumchagua Tundu Lissu mwenye Sera ya kurudisha katiba mpya ya warioba itakayoweka misingi ya utawala bora na kuondoa matumizi mabaya ya madaraka?
 
Huyu mwamba ni balaa.

Kupendwa raha sana chadema hadi wasanii wamewakataa
mimi niko CCM, tena hapa viungani Lumumba kabisa.

ukweli ni kwamba wasanii karibia wote hawakipendi kabisa chama chetu... sema wanaogopa kufanyiziwa, so inabidi washiriki kwa shingo upande wafanyeje!
 
Upo sawa.
 
Ona wabuku 7 ni jobless[emoji23][emoji23]
 
Sasa mnataka tusiwe na wasanii ili tukose watu kuja kwenye kampeini? Maana mgombea wetu awezi kusema sera bila kusema ukabila na kejeli...Leo ni Kisukuma mwanzo mwisho
 
Itabidi TBC wapeleke mkalimani
 
Magufuli hakumshinda Lowassa, acha kujidanganya mwenyewe. Magufuli alietangazwa na kina MAJECHA wa NEC. Safari hii tutapasuana matumbo tulane maini. Hatuta kubari UJECHA popote.
Safari hii zamu ya CCM kuwapasua, hakuna mnyonge nchi hii. Hatuwezi kukubali muwafanyie fujo washindi wetu. Tutalinda vituo vya kura na wagombea wetu. Mlete fujo muone. Hamna polisi wala nini tutawashikisha adabu sisi wenyewe. Kwanza CCM ina watu wengi kuliko CHADEMA so mjiandae, atakae leta za kuleta moto utamshukia.
 
Uchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu
Baada ya kupata hela nyingi zilizo tokana na miradi yao iliyokuwa imepokwa na mafisadi, na mfuko wa CCM kutuna wakaona watoe ajira kwa vijana kupitia usanii wao, hongera CCM mnawajali vijana. Hongera Katibu mkuu Dr. Bashiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…