Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
yah pesa zinalipwa madeni ya kudumu ya DJ
Viva Magu
Heil JPM
Viva Magu
Heil JPM
CHADEMA hawafanyi matamasha ya fiesta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA hawafanyi matamasha ya fiesta
Wananchi wameshtuka sahiv, Fiesta CCM kura Chadema.
CCM wanapumulia mashine
Nyuma ya wasanii 100 kuna kura ngapi??
Shukrani zimwendee Museveni kwa kolabo ya kuokoa jahazi na hoja mpya uliyoleta ya ujenzi wa bomba la mafuta litakaloleta ajira kwa wananchi na wapinzani pia watapata, hilo ni toleo jipya kwenye albamu yenye nyimbo tano SGR, Bwawa la mwal. Nyerere, Flyover ya Ubungo, Flyover ya Mfugale na Chato International Airport.Baada ya kushuhudia ya leo nimeamua kupiga kambi humu humu Chato ambapo kesho kuna burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii takribani 10 wakiongozwa na Harmonize, Juma Nature na Stamina wakinogesha kampeni za urais za CCM
Awamu hii wasanii zaidi ya 100 wamegawanyika maeneo mbali mbali ya Zanzibar na Tanganyika kwaajili ya kunogesha kampeni za CCM ambapo kwa jana pekee huko Tanga mgombea ubunge wa Tanga mjini kupitia CCM Ummy Mwalimu alikuwa na wasanii kumi akiwa mgombea ubunge wa kwanza kutia fora kwa lundo la wasanii.
View attachment 1568952View attachment 1568954View attachment 1568955View attachment 1568956View attachment 1568958View attachment 1568959View attachment 1568962View attachment 1568963
Weka clip ya matusi yake.Chadema hadi wasanii imewakataa,vyombo vya habari haviwataki
Chadema magundu
Lugha chafu za lissu anatukana kila mtu kwa kujivunia uraia wa ubeligiji Ndio iliyoifikisha Chadema apo
Wanatafuta msosimbna kama naona wasanii waliokua chadema kipindi cha nyuma nn kimetokea tena
Huyu mwamba ni balaa.
Hivi naachaje kumchagua Lissu wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private???Baada ya kushuhudia ya leo nimeamua kupiga kambi humu humu Chato ambapo kesho kuna burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii takribani 10 wakiongozwa na Harmonize, Juma Nature na Stamina wakinogesha kampeni za urais za CCM
Awamu hii wasanii zaidi ya 100 wamegawanyika maeneo mbali mbali ya Zanzibar na Tanganyika kwaajili ya kunogesha kampeni za CCM ambapo kwa jana pekee huko Tanga mgombea ubunge wa Tanga mjini kupitia CCM Ummy Mwalimu alikuwa na wasanii kumi akiwa mgombea ubunge wa kwanza kutia fora kwa lundo la wasanii.
View attachment 1568952View attachment 1568954View attachment 1568955View attachment 1568956View attachment 1568958View attachment 1568959View attachment 1568962View attachment 1568963
Hivi naachaje kumchagua Lissu wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private???Huyu mwamba ni balaa.
mimi niko CCM, tena hapa viungani Lumumba kabisa.Kupendwa raha sana chadema hadi wasanii wamewakataa
Upo sawa.mimi niko CCM, tena hapa viungani Lumumba kabisa.
ukweli ni kwamba wasanii karibia wote hawakipendi kabisa chama chetu... sema wanaogopa kufanyiziwa, so inabidi washiriki kwa shingo upande wafanyeje!
Ona wabuku 7 ni jobless[emoji23][emoji23]Unawaambia hawa misukule ya buku 7!? Hii misukule haina uwezo wa kumiliki hata bustani hii,zaidi ya kutumwa kuneemesha wenye CCM yao,ambao ndio hao wanaomiliki maelfu ya ekari za ardhi isiyofanyiwa kitu.
Hii misukule inapigania usukule wao wakiamini kutumwa tumwa kwao kunaweza siku moja kuwapa nafasi ya kula makombo ya mezani kwa mabwana zao (teuzi).
Itabidi TBC wapeleke mkalimaniSasa mnataka tusiwe na wasanii ili tukose watu kuja kwenye kampeini? Maana mgombea wetu awezi kusema sera bila kusema ukabila na kejeli...Leo ni Kisukuma mwanzo mwisho
Safari hii zamu ya CCM kuwapasua, hakuna mnyonge nchi hii. Hatuwezi kukubali muwafanyie fujo washindi wetu. Tutalinda vituo vya kura na wagombea wetu. Mlete fujo muone. Hamna polisi wala nini tutawashikisha adabu sisi wenyewe. Kwanza CCM ina watu wengi kuliko CHADEMA so mjiandae, atakae leta za kuleta moto utamshukia.Magufuli hakumshinda Lowassa, acha kujidanganya mwenyewe. Magufuli alietangazwa na kina MAJECHA wa NEC. Safari hii tutapasuana matumbo tulane maini. Hatuta kubari UJECHA popote.
Baada ya kupata hela nyingi zilizo tokana na miradi yao iliyokuwa imepokwa na mafisadi, na mfuko wa CCM kutuna wakaona watoe ajira kwa vijana kupitia usanii wao, hongera CCM mnawajali vijana. Hongera Katibu mkuu Dr. BashiruUchaguzi huu hatutatumia wasanii kufanya kampeni, tutatumia band yetu ya T.O.T. Hii ni kwasababu ya kupunguza matumizi ya fedha katika kampeni zetu CCM. - katibu Mkuu