yeah, watu wamejichokea na ufisadi na ulaghai uliokithiri. sasa wanataka a new lease of life.... some fresh air from somewhere, from some other person.Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
Tbccm na Channel ten wanatulazimisha kutazama mikampeni inayochafua moyo ikisindikizwa na utakatishaji fedha unaofanywa na maccmNimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
Ni kweli nimeshuhudi watu wanaendelea na mambo yao huku tv likmngurumisha mgombea. Imezoleka mmno na mambo ni yaleyale. Wanchosha na kuwachosha wasikilizajiMleta mada na mada yake ya kutunga,
"Nimepita maeneo kadhaa yenye TV"...
Kwa hii kauli anataka tumuamini.
Jambo la kusitisha ni kuwa hizi hoja za kitoto ulizoandika hapa ndio hizo Lissu anazihutubia majukwaani. Sasa Chadema itapata hata kura 200000?Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
Mimi kuliko nimwangalie mtu mmoja tu naingia Youtube najichagulia mwenyewe wa kumsikiaNipo naangalia TV ya chadema hapa "youtube" hahahah!
Hapa nilipo pamejaa hakuna hata sehemu ya kutema mate ,Ni kweli nimeshuhudi watu wanaendelea na mambo yao huku tv likmngurumisha mgombea. Imezoleka mmno na mambo ni yaleyale. Wanchosha na kuwachosha wasikilizaji
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Jambo la kusitisha ni kuwa hizi hoja za kitoto ulizoandika hapa ndio hizo Lissu anazihutubia majukwaani. Sasa Chadema itapata hata kura 200000?
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.Hana lolote la maana linaloishitua CCM.
CCM imeshayabaini mambo makubwa ( great things) , imeshatambua na inazo rasilimali ( resources ) na CCM inaendelea kufanya hayo mambo yatokee...