M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
yeah, watu wamejichokea na ufisadi na ulaghai uliokithiri. sasa wanataka a new lease of life.... some fresh air from somewhere, from some other person.Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.
Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...