Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.

Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
yeah, watu wamejichokea na ufisadi na ulaghai uliokithiri. sasa wanataka a new lease of life.... some fresh air from somewhere, from some other person.
 
Shida alianza kampeni mapema toka 2016 na amekuwa akisema yale yale, hamna mwenye matumaini.

Anaweza kuacha kupiga kampeni na bado akashinda asilimia zake zipo pale pale. Tanzania ni ile ile na CCM ni ile ile inayoshinda kila uchaguzi mkuu wa Rais tangu tumeanza mfumo wa vyama vingi
 
Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.

Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
Tbccm na Channel ten wanatulazimisha kutazama mikampeni inayochafua moyo ikisindikizwa na utakatishaji fedha unaofanywa na maccm
 
Ni kweli kabisa kwa mfano mimi huku nilipo hapa kijiweni kuna TV lakini nikifika wananzengo wanaomba niwafungulie smart phone wamsikilize lisu.

Na Kama magufuli anaongea wote wanaamia kwenye cm na TV inazimwa wanamsikiliza lisu,mpaka wanaccm.

Kwa ufupi mbinu za kishamba za kumbana lisu zinaisaidia Sana chadema na mgombea wao, kwani hata magufuli mwenyewe na watu wake ili wamjibu lisu inawabidi watafute hotuba zake.

Kwa ufupi lisu anamvuto mkubwa Sana kwa watanzania kuliko magufuli.
 
Nimepita sehemu kadhaa ambapo kuna TV na mikutano ya Magufuli ikirushwa Live.

Kitu nilichonotice ni kwamba wananchi wameshakuwa saturated na kumuona Magufuli, yaani wamemuona sana yeye peke yake mpaka sasa hawana shauku ya kumuona wala kumsikiiza sana...
Jambo la kusitisha ni kuwa hizi hoja za kitoto ulizoandika hapa ndio hizo Lissu anazihutubia majukwaani. Sasa Chadema itapata hata kura 200000?
 
Ni kweli nimeshuhudi watu wanaendelea na mambo yao huku tv likmngurumisha mgombea. Imezoleka mmno na mambo ni yaleyale. Wanchosha na kuwachosha wasikilizaji

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hapa nilipo pamejaa hakuna hata sehemu ya kutema mate ,

Wananchi wanamuangalia kiongozi wao.
 
Wewe piga propaganda zako lakini tarehe 28/10 matokeo yatakuwa 75% kwa Magu, 15% Lisu 5% Membe! Hao wengine watagawana zilizobaki
 
Hana lolote la maana linaloishitua CCM.
CCM imeshayabaini mambo makubwa ( great things) , imeshatambua na inazo rasilimali ( resources ) na CCM inaendelea kufanya hayo mambo yatokee...
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.

Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
5. Wastaafu

Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
Back
Top Bottom