Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Nimeuliza tu, usitukane mwanachama mwenzako kwa kujiona wewe ni CCM kindakindaki , mimi ni mwenzio ila siku zinvyosonga nashindwa kumwelewa mgombea wetu.Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
Mpimeni 'akili' mgombea wenu, msijesema atukuwaambia!Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
Tuendelee kuliombea taifa, kama ndivyoHujui kwamba anatembea na first aid kit pembeni?View attachment 1573669
Mataga vipi naona mmepata ajali,!Nimeuliza tu, usitukane mwanachama mwenzako kwa kujiona wewe ni CCM kindakindaki , mimi ni mwenzio ila siku zinvyosonga nashindwa kumwelewa mgombea wetu.
Watu wanacheka kweli mitaaniKusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.
1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.
2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!
3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki
4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!
5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.
Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.
1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.
2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!
3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki
4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!
5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.
Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
Unahitaji ukichaa fulani kuweza kukaa na kusikiliza utopolo wakeKusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.
1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.
2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!
3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki
4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!
5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.
Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
dah, Tupo pabaya sana, sijui ni ubaguzi ama niniUnahitaji ukichaa fulani kuweza kukaa na kusikiliza utopolo wake
Najua mpaka kesho atakuwa anawatafuta waliomshauri vibaya.Waliomdanganya upinzani umekufa ndo waliomtia wazimu. Haamini anachokiona.
Mtu kama huyo anatakiwa tiba au maombi?Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
Najua mpaka kesho atakuwa anawatafuta waliomshauri vibaya.
Swali moja la Lissu mwenyekiti wangu analijibu kurasa 220, il wanasheria wanajua sanaaa.Amewehuka huyo achana nae spana aza Tundu Lissu zinamtosha kabisa
Mwenyekiti wangu imuache?, hapana.Achana nae.Fanya ishu zingine
Propaganda za kipuuzi kama hizi zitawasaidia nini hapo october 28?Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.