Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.
1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.
2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!
3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki
4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!
5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.
Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya