Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
Nimeuliza tu, usitukane mwanachama mwenzako kwa kujiona wewe ni CCM kindakindaki , mimi ni mwenzio ila siku zinvyosonga nashindwa kumwelewa mgombea wetu.
 
Mpimeni 'akili' mgombea wenu, msijesema atukuwaambia!
 
Nimeuliza tu, usitukane mwanachama mwenzako kwa kujiona wewe ni CCM kindakindaki , mimi ni mwenzio ila siku zinvyosonga nashindwa kumwelewa mgombea wetu.
Mataga vipi naona mmepata ajali,!

'Script' mliondikiwa hamkuielewa nini?

Kweli mmepoteana kudadeki!
 
Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.

1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.

2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!

3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki

4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!

5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.

Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
Watu wanacheka kweli mitaani
 
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
 
Unahitaji ukichaa fulani kuweza kukaa na kusikiliza utopolo wake
 
Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...

Mkuu wewe hizi kauli hauoni zina kasoro hasa kwa Mkuu wa Nchi kuwabagua Raia wake kisa ni tofauti ya Vyama !?.Halaafu papo hapo mna msifia kuwa ni msikivu na ni Rais wa wanyonge !?

1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.

2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!
 
Sasa umejuaje kama amechanganyikiwa kama unashindwa kufatilia hotuba zake?
Unafatilia za nn kamazinakuchanganya acha unafiki ww?
Vingine kaa navyo moyoni sio kuleta ujinga tu jukwaani hapa...
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
 
Alipokuwa Bunda alisema hawana Taa kwa sababu walichagua Upinzani. Alipokuwa Busega ( Lamadi ) akasema mkichagua Upinzani hataleta Maendeleo. Alipofika Kigoma akasema Haya Maendeleo Haya ni yangu nimeleta, Maendeleo hayana Vyama Ni kauli za Mtu mmoja katika Uchaguzi mmoja!
Mtu kama huyo anatakiwa tiba au maombi?
 
Kusikiliza Hotuba ya Magufuli, unahitaji uvumilivu mkubwa Sana.

1.Akiwa hapa, anakwambia Maendeleo hayana Chama.

2. Akienda kule Anasema hakuna Maendeleo kwa sababu watu hawakuchagua CCM!

3. Akienda huku Anasema msinichanganyie. Ukichanganya betri na gunzi taa haiwaki

4. Akiwa kwingine analalamika Serikali ya Chadema kupandisha Umeme!

5. Akiwa kwingine anakwambia; hatukuwa hapa. Tumefanya makubwa.

Binafsi huwa sielewi Hotuba zake na nikiri hivi Sasa nashindwa kufuatilia Hotuba zake kwa sababu ananichanganya
Propaganda za kipuuzi kama hizi zitawasaidia nini hapo october 28?
 
Back
Top Bottom