Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Temea mate chini pale kumbuka hermo kiba linux nawengine wote ndani ulitegemea watuwasiende? Wasione fiesta
 
Kwa bahati mbaya mzee mkapa kashatangulia mbele ya haki ungemuuliza vizuri kuhusu hivyo viumbe aseee

Walijaa kwenye mkutano wake mwisho siku mpaka anatangulia mbele za haki hana hamu na viumbe wa huko
 
Watu wamekwenda kumuona raisi wanaemsikiaga redioni mfano miaka mitano hajawahi fika maeneo mengi ya mkoa wa kigoma hakuna mpiga kura umoo
Udhani hata kwa lissu kuna wapiga kura mule Mzee?. Tar 28 twende tukapige kura. Chagua maendeleo ,chagua ccm.
 
Naona umeamua kupiga U-turn ya hatari sana
 
Mikutano ya ccm itakuwa wapa shida watoa takwimu sababu ata wasanii wanaowatumia nao pia kwenye matamasha yao huwa wanajazaa pia
 
Hivi njkiwa dar malipo ni shingapi kupanda fuso za ccm ili nikasaidie kujaza uwanja kigoma
 
Kama amejaza hivyo Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Kagera mpaka viwanja vikajaa na watu kubakia nje huku barabara zikiwa zimejaa, sipati picha hapa Dar.

Huu ndio kila kitu na wabunge wake watatu wote walihamia CCM kutoka CHADEMA kabla upinzani haujafa huku ukitoa taswira ya aibu siku Lissu alipozindua kampeni Mbagala na kuambulia vitoto vya shule.

Wakati tunazindua kampein zetu Jangwani mwaka 2015 watu walijaa sana ingawa kulikuwa na wingu la Lowassa kwa sasa sisi wanadar tunangoja kwa hamu kama vile wapentekosti wakimsubilia masia sisi ni zaidi nabii wetu wa maendeleo anakuja kutua Dar, mji utazizima kwa furaha sio bodaboda, mamantilie achilia mbali wasomi kama mimi.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa umoja wa ulaya jpm anaonekana kukubalika sana Tanzania na mvuto wake hadi nje ya nchi .

Nangojea kuona tukio hili kubwa sana nadhani hata wewe msomaji unaomba usiku na mchana magufuri atue hapa

USSR
 
mwambie aende uwanjani bila wasanii aone namna "anavyokubalika" vizuri...kutumia wasanii hata Hashim Rungwe uwanja usingetosha!.

uzuri maeneo ya mijini wengi wameanza kuwashitukia huu utapeli wenu wa kuwatumia wasanii watu wanaenda kushangaa show za bure tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…