Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Ni kama kuvunja rekodi kwa aina yake mwaka huu kitu ambacho si kizuri kwa ACT Wazalendo kwani Kigoma ni kama miguu ya ACT Wazalendo hivyo ukikata ngwala Kigoma maana ni kama CCM imeua mtu au kubaka kabisa. Kuna kila haja ya Zitto kuliangalia hili anguko kwa umakini na kuchukua hatua za maksudi kuepuka janga hilo.

Kinachokwenda kutokea ni kuwa Tanzania Bara hakutakuwa na ACT Wazalendo ila Zanzibar itakuwepo, hili ndilo linaloonekana kwa sasa.
Temea mate chini pale kumbuka hermo kiba linux nawengine wote ndani ulitegemea watuwasiende? Wasione fiesta
 
Kwa bahati mbaya mzee mkapa kashatangulia mbele ya haki ungemuuliza vizuri kuhusu hivyo viumbe aseee

Walijaa kwenye mkutano wake mwisho siku mpaka anatangulia mbele za haki hana hamu na viumbe wa huko
 
Watu wamekwenda kumuona raisi wanaemsikiaga redioni mfano miaka mitano hajawahi fika maeneo mengi ya mkoa wa kigoma hakuna mpiga kura umoo
Udhani hata kwa lissu kuna wapiga kura mule Mzee?. Tar 28 twende tukapige kura. Chagua maendeleo ,chagua ccm.
 
Well said anaongea kuhusu flyovers na watu wa Kasulu. Zinawasaidia nini sasa katika maisha yao ya kila siku ?Wanakunywa maji machafu,umeme hawana. Ndege zinawasaidia nini sasa ?Hata tiketi za ndege hawajui zinauzwa wapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kupiga U-turn ya hatari sana
 
Mikutano ya ccm itakuwa wapa shida watoa takwimu sababu ata wasanii wanaowatumia nao pia kwenye matamasha yao huwa wanajazaa pia
2020_09_19_14.28.19.jpg
119658806_672517420338323_1183328325391443285_o.jpg
119679790_672517037005028_7533014002302588713_o.jpg
 
Hivi njkiwa dar malipo ni shingapi kupanda fuso za ccm ili nikasaidie kujaza uwanja kigoma
 
Kama amejaza hivyo Kigoma, Mwanza, Shinyanga, Kagera mpaka viwanja vikajaa na watu kubakia nje huku barabara zikiwa zimejaa, sipati picha hapa Dar.

Huu ndio kila kitu na wabunge wake watatu wote walihamia CCM kutoka CHADEMA kabla upinzani haujafa huku ukitoa taswira ya aibu siku Lissu alipozindua kampeni Mbagala na kuambulia vitoto vya shule.

Wakati tunazindua kampein zetu Jangwani mwaka 2015 watu walijaa sana ingawa kulikuwa na wingu la Lowassa kwa sasa sisi wanadar tunangoja kwa hamu kama vile wapentekosti wakimsubilia masia sisi ni zaidi nabii wetu wa maendeleo anakuja kutua Dar, mji utazizima kwa furaha sio bodaboda, mamantilie achilia mbali wasomi kama mimi.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa umoja wa ulaya jpm anaonekana kukubalika sana Tanzania na mvuto wake hadi nje ya nchi .

Nangojea kuona tukio hili kubwa sana nadhani hata wewe msomaji unaomba usiku na mchana magufuri atue hapa

USSR
 
mwambie aende uwanjani bila wasanii aone namna "anavyokubalika" vizuri...kutumia wasanii hata Hashim Rungwe uwanja usingetosha!.

uzuri maeneo ya mijini wengi wameanza kuwashitukia huu utapeli wenu wa kuwatumia wasanii watu wanaenda kushangaa show za bure tuu
 
Back
Top Bottom