Kila mtu tanzania hii anamkubali Magu, kama humpend huna alili nzuriKujaza uwanja si kuchaguliwa.
Vipi wapenzi wa muziki watapata burudani? Maana hiyo ndo inawapeleka watu na si kwamba mgombea anapendwa wala sera za mgombea.
Ko wakitaka kwenda kumuona rahisi wao wakataliwe au???, Au hawaruhusiwi, nyumbu bnaMalori na wasanii na wanafunzi ndo wanaojaza watu uwanjaniView attachment 1574319View attachment 1574321
Hizo ni strayegies za CCM! Wasanii ni sehemu ya hamasa! Ccm haijaanz leo kiwa na wasanii!Hatutaki wasaniii watu wanasikiliza hoja na sera na wanajaaa wala hakuna kutumia nguvu kubwa
Hawa wote mapolisi? View attachment 1574392
Hizo ni strayegies za CCM! Wasanii ni sehemu ya hamasa! Ccm haijaanz leo kiwa na wasanii!
Sasa hizo ni fikra zenu mfu!. Yaani mnataka kuaaminish kila mtu nchi hii anaichukia CCM! Nyumbu ban!Bila hivyo ni debe tupu
Dar alimshinda Lowassa? Wakati mlipigwa kuanzia diwani hadi Urais sasa kujaza jangwani kuliwasaidia nini?Alipiga chini lowasa na nguvu zake zote itakuwa huyu mfia mabeberu
Yes 70% ya waTz wameichoka CCM na ndio maana mnatembelea jina la Magufuli ili mponee hapo mnaogopa kutaja chama.Sasa hizo ni fikra zenu mfu!. Yaani mnataka kuaaminish kila mtu nchi hii anaichukia CCM! Nyumbu ban!
Bila hivyo ni debe tupu
Umefafanua vizuri sana chiefUkiona mtu anapewa t-shirt ya CCM na kipeperushi na akavaa akaenda kwenye kampeni za CCM jua ni CCM kabla Ila hakuwa na t-shirt wala kofia kabla. Kwa hali ilivyo huwezi mvalisha mfuasi wa Lissu t-shirt na kofia ya ccm akakubali. So, ukiona nyomi usishangae sana. Nakuhakikishia walioguswa na uongozi wa JPM hasa wa hali ya chini ni wengi sana. Subirini 28 October ndo mtaelewa.
Asante kwa picha hii.Hawa wote mapolisi? View attachment 1574392
Wale viongozi ambao kila wakati ambao Bunge lilikuwa likianza upitishaji wa bajeti, wao walikuwa wanatoka nje.Hao ndo wameichelewesha Kigoma kea muda mrefu Sana.Ni utawala wa chama gani uliochelewesha kigoma?
Mimi nimekuelewa Sana mkuu,kumbe hata wale wanaoenda kwenye mikutano ya CHADEMA, wengi wanaenda kumshangaa kwa macho mtu iliepigwa risasi🤔? Na sio kwamba eti wanampenda au Ni wafuasi wakweli wa Chadema.👏👏Nani kakwambia kuwa wote unaowaona hapo wanampenda Magufuli? Sisi ambao tumezaliwa na kukulia vijijini, tunajua maana ya kwenda kumwona uso kwa uso mtu ambaye siku zote umekuwa ukimsikia redioni ama kumwona kwenye TV. Yaani kwenda kushangaa. Na isitoshe, usijifanye kuwa haujasoma nyaraka za ofisi zikilazimisha watu kwenda kwenye mikutano ya Magufuli, shule kufungwa ili wanafunzi na walimu waende kwenye mikutano ya Magufuli. Na hata picha kuletwa hapa JF na mitandao ya kijamii. Na picha za watu kusombwa pia haujaziona? Na Mama Maria Nyerere naye haukumsikia? It is an artificial audience kwa ajili ya kampeni ya kisaikolojia. Otherwise, haina maana yoyote.
Mimi nimekuelewa Sana mkuu,kumbe hata wale wanaoenda kwenye mikutano ya CHADEMA, wengi wanaenda kumshangaa kwa macho mtu iliepigwa risasi🤔? Na sio kwamba eti wanampenda au Ni wafuasi wakweli wa Chadema.👏👏
Lissu ameshafika, ila sijajua ratiba yake ya kuhutubia ni liniSubiri Lissu afike kwanza ndio tutajadili hili
Mzalendo wa kuua. Kufilisi na kutesa WatanzaniaHatutakuja kupata rais mzalendo kama magufuli
Ila Dr Slaa alimuonea sana kumuita Kikwete Dr nini sijuiiiii, walati wenye phd feki tumejionea wenyewe jinsi walivyo.