Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Kujaza uwanja si kuchaguliwa.
Vipi wapenzi wa muziki watapata burudani? Maana hiyo ndo inawapeleka watu na si kwamba mgombea anapendwa wala sera za mgombea.
Kila mtu tanzania hii anamkubali Magu, kama humpend huna alili nzuri
 
uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi sana
Tunatakiwa kuchagua kati vitu na maneno matupu
Huyo mgombea wako bila ya barabara angefikaje huko kigoma leo?
 
.
Alipiga chini lowasa na nguvu zake zote itakuwa huyu mfia mabeberu
Dar alimshinda Lowassa? Wakati mlipigwa kuanzia diwani hadi Urais sasa kujaza jangwani kuliwasaidia nini?

Naomba ujibu hili swali
 
Sasa hizo ni fikra zenu mfu!. Yaani mnataka kuaaminish kila mtu nchi hii anaichukia CCM! Nyumbu ban!
Yes 70% ya waTz wameichoka CCM na ndio maana mnatembelea jina la Magufuli ili mponee hapo mnaogopa kutaja chama.

Maana kila mtu anafahamu mmefeli kila kitu kwa miaka 60 sasa. Hvi umaskini uliopo unaakisi rasilimali tulizonazo? Kwanini mtu achague CCM na zaidi ya 60% ya vijana hawana ajira kabisa?
 
Ukiona mtu anapewa t-shirt ya CCM na kipeperushi na akavaa akaenda kwenye kampeni za CCM jua ni CCM kabla Ila hakuwa na t-shirt wala kofia kabla. Kwa hali ilivyo huwezi mvalisha mfuasi wa Lissu t-shirt na kofia ya ccm akakubali. So, ukiona nyomi usishangae sana. Nakuhakikishia walioguswa na uongozi wa JPM hasa wa hali ya chini ni wengi sana. Subirini 28 October ndo mtaelewa.
Umefafanua vizuri sana chief
 
Nani kakwambia kuwa wote unaowaona hapo wanampenda Magufuli? Sisi ambao tumezaliwa na kukulia vijijini, tunajua maana ya kwenda kumwona uso kwa uso mtu ambaye siku zote umekuwa ukimsikia redioni ama kumwona kwenye TV. Yaani kwenda kushangaa. Na isitoshe, usijifanye kuwa haujasoma nyaraka za ofisi zikilazimisha watu kwenda kwenye mikutano ya Magufuli, shule kufungwa ili wanafunzi na walimu waende kwenye mikutano ya Magufuli. Na hata picha kuletwa hapa JF na mitandao ya kijamii. Na picha za watu kusombwa pia haujaziona? Na Mama Maria Nyerere naye haukumsikia? It is an artificial audience kwa ajili ya kampeni ya kisaikolojia. Otherwise, haina maana yoyote.
Mimi nimekuelewa Sana mkuu,kumbe hata wale wanaoenda kwenye mikutano ya CHADEMA, wengi wanaenda kumshangaa kwa macho mtu iliepigwa risasi🤔? Na sio kwamba eti wanampenda au Ni wafuasi wakweli wa Chadema.👏👏
 
Angalau umekiri kwa uwazi kuwa mikutano ya TL inavuta watu. Mmelaaniwa nyote mnaotafuta kutoa uhai wa wenzenu. Kama Mungu alivyomlaani Cain na kizazi chake kwa kumuua ndugu yake Abel. Na mwisho wa dunia, nuru itaishinda giza. Umechagua wauaji, umechagua kushindwa siku Mungu akiifikisha mwisho dunia hii.
Mimi nimekuelewa Sana mkuu,kumbe hata wale wanaoenda kwenye mikutano ya CHADEMA, wengi wanaenda kumshangaa kwa macho mtu iliepigwa risasi🤔? Na sio kwamba eti wanampenda au Ni wafuasi wakweli wa Chadema.👏👏
 
Bila shaka tungeiona hali halisi ya CCM. Wasanii wapo kwa maslahi yao. Wananchi wanapata tshet bure japo walisema hawatagawa tsheti wala kutumia wasanii.

Unawezaje kulinganisha 'nyomi' ya kusomba na 'nyomi' ya kujipeleka kwa nauli binafsi.

MWILI 'CCM' ROHO 'CHADEMA'
Screenshot_20200915-170141.png
 
Back
Top Bottom