Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Bwashee hata hujui mgombea wa CCM Kaliua ni nani? Naona umekuja mbio mbio ilimradi uitaje Chadema. Kwataarifa yako Tundu Lissu Kagera anaenda kuwa mfalme!
 

Bashiru anaweza kimbiahuko usiku. Lissu anangoa yote yaliyopandwa na mgombea aliyetangulia.
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Duu wote hao kwa mtu mmoja
 
Kwa nini Magufuli ni Mbaguzi sana?
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Kumpigia kura Lissu ni kupoteza kura yako bure, maana hawezi shinda. Huu ukweli sijui kwanini unakuwa mgumu kwenu wana saccos wa Ufipa. Magufuli 5 tena.
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Mkuu pamoja na pinda kuwa arusha,mkitano Wa gambo ni tumafuriko sio mafuriko,wana hali mbaya huku chuga..
 
Huyo mkwewe alikuwa Afisa Utumishi Halmashauri mwenye scandal chafu za kutosha na alifikishwa mahakamani. Alipoingia madarakani akampa ukurugenzi wa Halmashauri. Akagombea na hakuongoza kura za maoni, akambeba pia.

Halafu bado anajiona ni malaika. Tenda haki kwa wote ndipo Mu ngu atazipokea hata sala zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…