Walishindwa kuchukua 2015, pamoja na collaboration yao ndio iwe 2020?.Watakuwa wanatoa mchana,wajipange kwa 2040 labda.Kaliua wametisha!.Halafu kuna watu wanaamini , wanachukua nchii octoba ! Sisi kazi yetu ni kutupia tu kama hiviView attachment 1575373View attachment 1575374
Lakini sio tabia nzuri ya kufanya mikutano na Wanafunzi wa Shule za msingi na waongeza vichwa wa kuhongaDr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Kapuya ndiye mgombea huko? CCM wapuuzi sana.Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Umechanganyikiwa bwasheeKumnadi siyo lazima agombee ubunge bwashee!
Kwani yeye ni malaika?Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Hahahaaaa...... Amestahili hilo jibu bwashee!Umechanganyikiwa bwashee
Sasa wataendaje kumshangaa Rais wao! Vipi lissu leo? kigoma mbona hatuzioni picha za nyomi?.Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?
Delete ccm Oct 28Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.
Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.
Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona wajumbe walimtapika asubuhi kweupe?..Profesa.Juma Athumani Kapuya anagombea ubunge?
Hivi picha hiyo huioni? Au unakuja tu kuandika usichokijua hapa, watu kama wana mchukia mtu wataendaje na kukusanyika hivyo kimsikiliza? Tumieni akili basi nyie chadomo!.Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua wilaya ya kaliua watu kilimo cha biashara ni tumbaku ambayo serikali yako wamehalibu sana hiki kilimo na kilikuwa kinawapa watu pesa sana watu walienda kumshangaa harmonize kaliua urambo msahau nyie nimetembea vijiji vingi watu wanalaani sana kwa mfano usinge ,igagala,zote,shela,maboha,mpanda mlowoka,ugwisi kombe na vingine vingi jindanganyeni tu ila watu wana hasira sana
ZipoSasa wataendaje kumshangaa Rais wao! Vipi lissu leo? kigoma mbona hatuzioni picha za nyomi?.