Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Lakini sio tabia nzuri ya kufanya mikutano na Wanafunzi wa Shule za msingi na waongeza vichwa wa kuhonga
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Kapuya ndiye mgombea huko? CCM wapuuzi sana.
 
Unamkata Chenge bila sababu za msingi ila babu Kapuya unamuacha. CCM hii ni shida
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Kwani yeye ni malaika?
 
Kaliua wametisha! Yaani bado kuna watu wanaamini wanachukua nchi hapo oktoba ! Tuwape pole sana Sisi kazi yetu ni kuwaletea picha tu kama hivi ili baadae msije kusema mliibiwa kura! Hapa ni njiani tu JPM anapita!.

IMG_20200920_174616_204.jpg
IMG_20200920_174545_631.jpg
 
Kumbe hawa hawaendi kumshangaa Magufuli ila wakifurika kwa Lissu wanaenda kumshangaa?

Mikoa na majiji ambayo Lissu atashinda ni Dar, Zanzibar,Arusha,Mwanza,Mbeya,

Mikoa Mtwara, Iringa,Kagera, Kilimanjaro, Manyara, singida, Kigoma, Mara,Songwe.

Mikoa ambayo watagawana kura Dodoma, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Ruvuma.

Mikoa ambayo yeye atashinda Geita, Simiyu, Katavi Rukwa Lindi na Tabora

Sasa mtu Kama huyu ana chake kweli?

Kila mtu ashinde mechi zake yaani Jiwe ni nyumbani mapema Sana October.
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Delete ccm Oct 28
 
Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.

Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.

Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.

Huyu mtu hatufai kabisa.
 
Katika wilaya ngumu kwa CCM ni kaliua unaongea usicho kijua wilaya ya kaliua watu kilimo cha biashara ni tumbaku ambayo serikali yako wamehalibu sana hiki kilimo na kilikuwa kinawapa watu pesa sana watu walienda kumshangaa harmonize kaliua urambo msahau nyie nimetembea vijiji vingi watu wanalaani sana kwa mfano usinge, igagala, zote, shela, maboha, mpanda mlowoka, Ugwisi kombe na vingine vingi jindanganyeni tu ila watu wana hasira sana
 
19 September 2020
Bukoba, Kagera
Tanzania

CHADEMA WAPINDUA MEZA BUKOBA BAADA YA CCM KUMALIZA KAMPENI ZA URAIS 2020 KAGERA

Chief Kalumuna mgombea wa CHADEMA akielekea katika kampeni za ubunge

Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua wilaya ya kaliua watu kilimo cha biashara ni tumbaku ambayo serikali yako wamehalibu sana hiki kilimo na kilikuwa kinawapa watu pesa sana watu walienda kumshangaa harmonize kaliua urambo msahau nyie nimetembea vijiji vingi watu wanalaani sana kwa mfano usinge ,igagala,zote,shela,maboha,mpanda mlowoka,ugwisi kombe na vingine vingi jindanganyeni tu ila watu wana hasira sana
Hivi picha hiyo huioni? Au unakuja tu kuandika usichokijua hapa, watu kama wana mchukia mtu wataendaje na kukusanyika hivyo kimsikiliza? Tumieni akili basi nyie chadomo!.
 
Back
Top Bottom