Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Nioneshe mafuso na matrekta hapo! By the way hawa apa vipi wanaenda kwa miguu? View attachment 1575625
Bado tuna edit kwanza.Leteni basi tuzione , mnapita kimya kimya kama mmenyeshewa mvua
Kama unataka kukosana na vijana wa Chadema waambie waweke picha za Kaliua.Tuletee picha ya leo kaliua wewe nyumbu!
Kaka hito,umekumbusha kwetu kabsa,hongera kwakuwapa ukwel,Katika wilaya ngumu kwa ccm ni kaliua unaongea usicho kijua wilaya ya kaliua watu kilimo cha biashara ni tumbaku ambayo serikali yako wamehalibu sana hiki kilimo na kilikuwa kinawapa watu pesa sana watu walienda kumshangaa harmonize kaliua urambo msahau nyie nimetembea vijiji vingi watu wanalaani sana kwa mfano usinge ,igagala,zote,shela,maboha,mpanda mlowoka,ugwisi kombe na vingine vingi jindanganyeni tu ila watu wana hasira sana
Picha zenyewe sio halisi,ni za dukani.Huw naangalia channel za youtube Lisu anapata mapokezi makubwa tu kama leo tafuta video sema sababu vyombo vya habari vimezuiwa kuripoti
Hizo nyomi za magufuli janja janja nyingi watu siku hawashtuki hapo utakuta nusu wanafunzi nusu wamesombwa na malori nusu wamefuata wasanii
Natamani kupata jambo jipya kabisa naamini yapo na wadau wanayafahamu.Ajira hajatoa toka 2015 mpaka Leo...hakika ingekuwa sio ubabe na kutumia polis wangelitoka madarakan hawatufai
Ahadi Mpya kabisa MkuuWatanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.
Huyu mtu hatufai kabisa.
Picha zenyewe sio halisi,ni za dukani.
Haiwezekani mkao wa gari na watu ni huo huo kila mahali. Ngoja nikipata muda nitaweka wazi kitu fulani.